Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
0D5B9A5E-02D8-4462-83D1-A1F575401D2C.jpeg
 
Hawa ndio wale vijana mliosema wapewe kazi kisa wamekaa sana mtaani hawana ajira.
 
Zimetumika bilioni ngapi kutengeneza hivyo vibao viwili??
 
Magu (RIP) angekuwepo, huu ujinga na incompetence usingetokea!
 
Hakyanani,nimecheka..hii nchi yenyewe tu ni comedy tosh.
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

Screenshot_20220425-163744_Opera Mini.jpg
 
hili zoezi halikupewa pesa ya kutosha pamoja na muda.... kinachoendelea sasa hivi ni upuuzi tu huko halmashauri.... kwa kifupi kama una 150k mtaa unaweza kupewa jina lako kwa kulipia tuhicho kiasi....

kwa ufupi kazi imelipuliwa tu labda kama watakuja kufanya maboresho baadae taratibu na kwa ufanisi zaidi
 
Back
Top Bottom