YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Basi ruksa kibao kilichoandikwa na mtu wa madrasa Load badala ya Road kikubalike ili tusionekane tuna udini kuwa Road ni Load kama alivyofundisha mwalimu ustaadhi wa madrasa anayesema madrasa yake inafundisha kiingereza na kiarabuNi aibu kwa mtu kama wewe kuendekeza upuuzi.