YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Andikeni vibao vizuriWacha ubaguzi wewe kungwi.
Road madrasa mnafundishwa kuwa ni Load? Kiasi hata mpokeaji haoni na msimikaji haoni? Na mlipaji haoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andikeni vibao vizuriWacha ubaguzi wewe kungwi.
Unashangaa nini waandikaji form four vyeti vya kufoji na wapokea vibao na kusimika form four vyeti vya kufoji ulitarajia nini?
Hayo ndio matokeo ya kubebana kupeana kazi kwa kujuana bila kuhakiki vyeti watu wanapeana kazi misikitini na vyumbani hivyo vibao waandikaji waislamu na wapokeaji na wasimikaji waislamu wakataa elimu dunia kuwa sio muhimu ila kazi wanataka wanasema waislamu wanaonewa na mfumo Kristo hawapewi tenda hata za kuandika vibao vya mitaa na kusimika!!
Wacha chuki za kijinga.Andikeni vibao vizuri
Road madrasa mnafundishwa kuwa ni Load? Kiasi hata mpokeaji haoni na msimikaji haoni? Na mlipaji haoni?
Tenda mtu ukipewa unapewa hadi kuandika nini? Hapo Tatizo liko.kuanzia kwenye tenda hadi kuandika , kupokea kibao kudhibitisha,kusimika hadi kulipa!!! Sio tu Tatizo la R na L!!!😃😆😅🤣
Bongo hatari sana aise. Matumizi ya L na R katika mitamko na uandishi ni JANGA LA TAIFA.
Kwa hiyo tuache hicho watu wa madrasa wameandika Load badala ya Road Kibaki hivyo hivyo?Wacha chuki za kijinga.
Ngoja waje wale wa siasa kali,Sio hao waliondika ,kupokea hivyo.vibao na kusimika ni wasomi waliosoma madrasa za kiislamu tena hapo wamejitahidi misikitini wanasifiwa kuwa ndio wasomi
Na ndio walioandika load badala ya RoadNgoja waje wale wa siasa kali,
Yatakayokupata usije ukaomba poo😄
Labda uniambie muda,ila sio pesa!hili zoezi halikupewa pesa ya kutosha pamoja na muda.... kinachoendelea sasa hivi ni upuuzi tu huko halmashauri.... kwa kifupi kama una 150k mtaa unaweza kupewa jina lako kwa kulipia tuhicho kiasi....
kwa ufupi kazi imelipuliwa tu labda kama watakuja kufanya maboresho baadae taratibu na kwa ufanisi zaidi
Sema mama yako sio mama yetu na sio kipenzi chetu jisemee nafsi yakoKatika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?
View attachment 2200130
kitu hiki ndiyo anuani za makazi? Mi nikajuwa kumtambuwa mtu mtaa anaoishi na nyumba yake.Sasa kama ni hivyo tu sisi wananchi tunatumiwa sms tushiriki nini?Na hi ndiyo imemfanya waziri NAPE kupaa na chopa?Msaada.Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?
View attachment 2200130
Sasa hapo mambo ya dini yameingiaje?Unashangaa nini waandikaji form four vyeti vya kufoji na wapokea vibao na kusimika form four vyeti vya kufoji ulitarajia nini?
Hayo ndio matokeo ya kubebana kupeana kazi kwa kujuana bila kuhakiki vyeti watu wanapeana kazi misikitini na vyumbani hivyo vibao waandikaji waislamu na wapokeaji na wasimikaji waislamu wakataa elimu dunia kuwa sio muhimu ila kazi wanataka wanasema waislamu wanaonewa na mfumo Kristo hawapewi tenda hata za kuandika vibao vya mitaa na kusimika!!