Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

Africa kila kitu ni drama
Unakumbuka Uganda walipewa pesa za Corona kutoka ulaya wabunge wakagawana
Tanzania Luna mtu alipusuliwa kichwa badala ya mguu
Cameroon magar yote 42 yaliwabeba wanamichezo AFCON-2022 yamepotea hayajulikani yalipo
Nigeria Waliiba VAR
Unajua ni kwa nn nchi nyingi za Africa population kubwa iliyopo ni watoto na wazee?
 
Katika zoezi la kuweka anuani za makazi, kuna hii kitu nimekutana nayo,imebidi nijiulize ni wameandika hivi bahati mbaya, hawajui maneno sahihi au wameamua tu kumhujumu mama yetu kipenzi aonekane kashindwa kusimamia zoezi?

View attachment 2200130
Wanachukulia hii si kazi ya kutumia taaluma,inaweza kufanywa na mtu yeyote kama vile kichimba choo cha shimo kijijini
 
Africa kila kitu ni drama
Unakumbuka Uganda walipewa pesa za Corona kutoka ulaya wabunge wakagawana
Tanzania Luna mtu alipusuliwa kichwa badala ya mguu
Cameroon magar yote 42 yaliwabeba wanamichezo AFCON-2022 yamepotea hayajulikani yalipo
Nigeria Waliiba VAR
Unajua ni kwa nn nchi nyingi za Africa population kubwa iliyopo ni watoto na wazee?
Noma sana
 
Mpaka wanaenda kuchomeka Hilo Chuma, nobody noticed, watendaji wapo wapi, na wamesoma angalau mpaka diploma!? This is absolutely ridiculous!
Waandike Tu Kiswahili mtaa wa......
Kingereza kimewashinda, tutumie Kiswahili!

Nimefadhaika Sana moyoni, aisee! Nchi ngumu kweli hii!
 
Unashangaa nini waandikaji form four vyeti vya kufoji na wapokea vibao na kusimika form four vyeti vya kufoji ulitarajia nini?

Hayo ndio matokeo ya kubebana kupeana kazi kwa kujuana bila kuhakiki vyeti watu wanapeana kazi misikitini na vyumbani hivyo vibao waandikaji waislamu na wapokeaji na wasimikaji waislamu wakataa elimu dunia kuwa sio muhimu ila kazi wanataka wanasema waislamu wanaonewa na mfumo Kristo hawapewi tenda hata za kuandika vibao vya mitaa na kusimika!!

Pamoja na hayo ya kujuana Lakini Pia Ni uzembe mkubwa. Kuna internet. Kuna online dictionary nk. Karne ya leo vitu Kama Hivi huitaji hata kuwa msomi.
 
Ni aibu kwa mtu kama wewe kuendekeza upuuzi.
Basi ruksa kibao kilichoandikwa na mtu wa madrasa Load badala ya Road kikubalike ili tusionekane tuna udini kuwa Road ni Load kama alivyofundisha mwalimu ustaadhi wa madrasa anayesema madrasa yake inafundisha kiingereza na kiarabu
 
Je, na hao walio simamia hilo zoezi ni Walimu? Maana kuna lile tangazo la wale vilaza wa Haki Elimu la kuwaponda walimu wa Tanzania halijakaa sawa hata kidogo.

Hili tatizo ni la Kitaifa! Na wala siyo la kundi fulani tu.
 
Ni aibu kwa mtu kama wewe kuendekeza upuuzi.
Basi ruksa kibao kilichoandikwa na mtu wa madrasa kuwa nin Load badala ya Road kikubalike ili tusionekane tuna udini kuwa Road ni Load kama alivyofundisha mwalimu ustaadhi wa madrasa anayesema madrasa yake inafundisha kiingereza na kiarabu

Mwalimu wa madrasa anayewatapeli wazazi kuwa madrasa yake inafundisha kiarabu na kiingereza asijisikie vibaya na asikose soko
 
Back
Top Bottom