Anawajueni lakini keshasema ni Kheri afe amesimama kuliko kufa amepiga magoti! Sahauni kwamba atakuja kwenu kuwaomba yaishe!Ndo hivyo ajifunze next time there will be no next time, awatafute aliowakosea wayamalize, anawajua 100%!
Kwa maelezo haya inaonesha hata wewe unawajua wauaji wake, na lengo la mauaji pia unajua....Ndo hivyo ajifunze next time there will be no next time, awatafute aliowakosea wayamalize, anawajua 100%!
mazee, shaba inapasua kioo kweli?The first target ilikua kioo nadhani later wakaanza piga bodi ya gari may be baada ya kuona vioo havipasuki
Hebu tuongee ukweli. Baada ya ile Kauli ya Lissu kuwa anafuatiliwa, ni kituo gani cha Polisi kingefungua jalada la RB na nani angesaini hiyo ripoti.Nimeshanga ya kamanda siro
Eti hakuripoti polisi!!!!!!
Nani huwa anaripoti polisi hata
Lisu kila siku anapelekwa polisi na mahabusu
Mbowe kushikwashikwa
Mkatoliki kutekwa
Watu wa mitandaaoni kushikwa, kutiwa ndani kila wakati
Mku wetu wapolisi....... Mungu anajuwa
Hebu tuongee ukweli. Baada ya ile Kauli ya Lissu kuwa anafuatiliwa, ni kituo gani cha Polisi kingefungua jalada la RB na nani angesaini hiyo ripoti.
Nitarudi baada ya kupata majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kupaste post za mange kimambi unajifanya na wewe mchambuzi.... hapo chini ungeandika mangekimambi ndo sosi ya uchambuzi wakoNimejiuliza sana inawezekana vipi gari ishambuliwe kwa risasi zaidi ya 20 dereva asijeruhiwe hata kidogo na TL ajeruhiwe na risasi chache?
Baada ya kufikiria sana nimegundua haya kwa hisia zangu
1.vioo tinted vimesaidia sana(utaelewa ukisoma namba mbili)
2.dereva kama ana uzoefu na ulinzi alimwambia TL alaze kiti na asishuke kwenye gari. Baada ya kulaza kiti kichwa chake kilikuwa usawa wa mlango wa nyuma. Ndio maana kuna risasi zilipigwa kwenye kioo usawa wa kichwa hazikumpata,zilizompata ni miguuni ambapo ukilaza kiti miguu bado inabaki mbele, na za tumboni kwasababu hata ukilaza na kurudisha kiti nyuma kama una kitambi tumbo linabaki mbele
3.dereva alishuka na kuinama au kusimama usawa wa mlango wa nyuma,hapa tena tinted ilisaidia kumficha.
Nawaza hapa lile agizo la kuondoa tinted lingetekelezwa sijui ingekuwaje!
Hizi ni hisia tu waliokuwepo ndio wanajua nini hasa kilitokea na bado sijapata jibu kwanini dereva aliamua kwenda nyumbani wakati amehisi anafuatiliwa.
Unafikiri kila mtu anamsoma Mange kama wewe?! Nilikwambia mimi ni mchambuzi?acha kupaste post za mange kimambi unajifanya na wewe mchambuzi.... hapo chini ungeandika mangekimambi ndo sosi ya uchambuzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba aliekuwa ametoa agizo la kutoa tinted afuatiliwe pengne alikuwa ameshaona gari la Mh kuwa akiwa ndan haonekan jinsi ya kushutiwa pengine akatoa tamko kimkoa likimlenga mtu mmoja tu TLS Prezidaa.Nimejiuliza sana inawezekana vipi gari ishambuliwe kwa risasi zaidi ya 20 dereva asijeruhiwe hata kidogo na TL ajeruhiwe na risasi chache?
Baada ya kufikiria sana nimegundua haya kwa hisia zangu
1.vioo tinted vimesaidia sana(utaelewa ukisoma namba mbili)
2.dereva kama ana uzoefu na ulinzi alimwambia TL alaze kiti na asishuke kwenye gari. Baada ya kulaza kiti kichwa chake kilikuwa usawa wa mlango wa nyuma. Ndio maana kuna risasi zilipigwa kwenye kioo usawa wa kichwa hazikumpata,zilizompata ni miguuni ambapo ukilaza kiti miguu bado inabaki mbele, na za tumboni kwasababu hata ukilaza na kurudisha kiti nyuma kama una kitambi tumbo linabaki mbele
3.dereva alishuka na kuinama au kusimama usawa wa mlango wa nyuma,hapa tena tinted ilisaidia kumficha.
Nawaza hapa lile agizo la kuondoa tinted lingetekelezwa sijui ingekuwaje!
Hizi ni hisia tu waliokuwepo ndio wanajua nini hasa kilitokea na bado sijapata jibu kwanini dereva aliamua kwenda nyumbani wakati amehisi anafuatiliwa.
Duh hatari.Uweza sahihi kabisa, tatizo langu naona kama umewapa watu kujilinda lakini pia imewapa mbinu wauaji siku nyingine watachekecha kuanzia indicator ya nyuma mpaka ya mbele.
kunahaja vingozi hawa wawekewe bullet proof. Magari yao yaimalishwe kuzuia risasi za bunduki za kati.