Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Nimependa ulivyopangilia hoja...... Unfortunately siyo serikali hii inayoweza kutoa majibu kwa hoja hizi.... It's crystal clear that pamoja na Lissu mwenyewe kulalamika muda mrefu kuhusu usalama wa maisha yake.... Bado serikali haikulitilia maanani suala hili!!

Well, yaweza kuwa conspiracy against the governement, but i'm sorry to say, ni ngumu sana serikali hii kukwepa lawama!!!
 
Ndo hivyo ajifunze next time there will be no next time, awatafute aliowakosea wayamalize, anawajua 100%!
Anawajueni lakini keshasema ni Kheri afe amesimama kuliko kufa amepiga magoti! Sahauni kwamba atakuja kwenu kuwaomba yaishe!
 
Kuna watu bado wanaingoja serikali ije itoe majibu kupitia jeshi la polisi kwamba ni nani kafanya mambo yale, mtangoja sana
 
Mungu ndo ametuleta hapa dunia na ndiyo anayejua mwanzo wa maisha yetu na mwisho wake.
Mungu nakuomba hawa watu waliokuwa ktk huu mpango uwahukumu kutokana na matendo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshanga ya kamanda siro

Eti hakuripoti polisi!!!!!!

Nani huwa anaripoti polisi hata

Lisu kila siku anapelekwa polisi na mahabusu

Mbowe kushikwashikwa

Mkatoliki kutekwa

Watu wa mitandaaoni kushikwa, kutiwa ndani kila wakati

Mku wetu wapolisi....... Mungu anajuwa
 
Haya mambo yanitia hasira ila muda imefika kama baya itakuwa baya I meant Revenge.
 
Nimeshanga ya kamanda siro

Eti hakuripoti polisi!!!!!!

Nani huwa anaripoti polisi hata

Lisu kila siku anapelekwa polisi na mahabusu

Mbowe kushikwashikwa

Mkatoliki kutekwa

Watu wa mitandaaoni kushikwa, kutiwa ndani kila wakati

Mku wetu wapolisi....... Mungu anajuwa
Hebu tuongee ukweli. Baada ya ile Kauli ya Lissu kuwa anafuatiliwa, ni kituo gani cha Polisi kingefungua jalada la RB na nani angesaini hiyo ripoti.

Nitarudi baada ya kupata majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tuongee ukweli. Baada ya ile Kauli ya Lissu kuwa anafuatiliwa, ni kituo gani cha Polisi kingefungua jalada la RB na nani angesaini hiyo ripoti.

Nitarudi baada ya kupata majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app

1. Hili la sasa baada ya shambulio kwa Lisu nani karipoti

2. Hili la sasa baada ya Shambulio kwa Lisu nani kasaini RB kiasi kwamba wapo bize kutwa kucha

3. wanapomshika kila siku Lisu nani huwa anaripoti na kusaini Report Book

Kazi ya polisi nipamoja na kuzuia uhalifu kwa njia yoyote wapatapo taarifa elewa wewe. Kinga ni bora kuliko tiba

Mitandaonii kila siku wanakamatwa watu kwa maelezo wamevunja sheria na taratibu za mitandao nani huwa anaripoti na kusaini RB

Nitarudi baada ya kupata majibu
 
Nimejiuliza sana inawezekana vipi gari ishambuliwe kwa risasi zaidi ya 20 dereva asijeruhiwe hata kidogo na TL ajeruhiwe na risasi chache?
Baada ya kufikiria sana nimegundua haya kwa hisia zangu
1.vioo tinted vimesaidia sana(utaelewa ukisoma namba mbili)
2.dereva kama ana uzoefu na ulinzi alimwambia TL alaze kiti na asishuke kwenye gari. Baada ya kulaza kiti kichwa chake kilikuwa usawa wa mlango wa nyuma. Ndio maana kuna risasi zilipigwa kwenye kioo usawa wa kichwa hazikumpata,zilizompata ni miguuni ambapo ukilaza kiti miguu bado inabaki mbele, na za tumboni kwasababu hata ukilaza na kurudisha kiti nyuma kama una kitambi tumbo linabaki mbele
3.dereva alishuka na kuinama au kusimama usawa wa mlango wa nyuma,hapa tena tinted ilisaidia kumficha.
Nawaza hapa lile agizo la kuondoa tinted lingetekelezwa sijui ingekuwaje!
Hizi ni hisia tu waliokuwepo ndio wanajua nini hasa kilitokea na bado sijapata jibu kwanini dereva aliamua kwenda nyumbani wakati amehisi anafuatiliwa.
 
Nimewaza harakahara kwanini Mh Lissu hakurukia seat ya nyuma chapchap, anyway Haya mambo hayana formula asee
 
Uweza sahihi kabisa, tatizo langu naona kama umewapa watu kujilinda lakini pia imewapa mbinu wauaji siku nyingine watachekecha kuanzia indicator ya nyuma mpaka ya mbele.

kunahaja vingozi hawa wawekewe bullet proof. Magari yao yaimalishwe kuzuia risasi za bunduki za kati.
 
Nimejiuliza sana inawezekana vipi gari ishambuliwe kwa risasi zaidi ya 20 dereva asijeruhiwe hata kidogo na TL ajeruhiwe na risasi chache?
Baada ya kufikiria sana nimegundua haya kwa hisia zangu
1.vioo tinted vimesaidia sana(utaelewa ukisoma namba mbili)
2.dereva kama ana uzoefu na ulinzi alimwambia TL alaze kiti na asishuke kwenye gari. Baada ya kulaza kiti kichwa chake kilikuwa usawa wa mlango wa nyuma. Ndio maana kuna risasi zilipigwa kwenye kioo usawa wa kichwa hazikumpata,zilizompata ni miguuni ambapo ukilaza kiti miguu bado inabaki mbele, na za tumboni kwasababu hata ukilaza na kurudisha kiti nyuma kama una kitambi tumbo linabaki mbele
3.dereva alishuka na kuinama au kusimama usawa wa mlango wa nyuma,hapa tena tinted ilisaidia kumficha.
Nawaza hapa lile agizo la kuondoa tinted lingetekelezwa sijui ingekuwaje!
Hizi ni hisia tu waliokuwepo ndio wanajua nini hasa kilitokea na bado sijapata jibu kwanini dereva aliamua kwenda nyumbani wakati amehisi anafuatiliwa.
acha kupaste post za mange kimambi unajifanya na wewe mchambuzi.... hapo chini ungeandika mangekimambi ndo sosi ya uchambuzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejiuliza sana inawezekana vipi gari ishambuliwe kwa risasi zaidi ya 20 dereva asijeruhiwe hata kidogo na TL ajeruhiwe na risasi chache?
Baada ya kufikiria sana nimegundua haya kwa hisia zangu
1.vioo tinted vimesaidia sana(utaelewa ukisoma namba mbili)
2.dereva kama ana uzoefu na ulinzi alimwambia TL alaze kiti na asishuke kwenye gari. Baada ya kulaza kiti kichwa chake kilikuwa usawa wa mlango wa nyuma. Ndio maana kuna risasi zilipigwa kwenye kioo usawa wa kichwa hazikumpata,zilizompata ni miguuni ambapo ukilaza kiti miguu bado inabaki mbele, na za tumboni kwasababu hata ukilaza na kurudisha kiti nyuma kama una kitambi tumbo linabaki mbele
3.dereva alishuka na kuinama au kusimama usawa wa mlango wa nyuma,hapa tena tinted ilisaidia kumficha.
Nawaza hapa lile agizo la kuondoa tinted lingetekelezwa sijui ingekuwaje!
Hizi ni hisia tu waliokuwepo ndio wanajua nini hasa kilitokea na bado sijapata jibu kwanini dereva aliamua kwenda nyumbani wakati amehisi anafuatiliwa.
Naomba aliekuwa ametoa agizo la kutoa tinted afuatiliwe pengne alikuwa ameshaona gari la Mh kuwa akiwa ndan haonekan jinsi ya kushutiwa pengine akatoa tamko kimkoa likimlenga mtu mmoja tu TLS Prezidaa.
 
Hawakuwa makini kwenye kazi yao tu kwanza wasingeifata gari ya TL kwa nyuma wangetumia van wakaibandika sticker za dhl wangemsubiri ashuke kwenye gari lake bang! Wale washkaji walikuwa ni "trigger happy" tu
 
Uweza sahihi kabisa, tatizo langu naona kama umewapa watu kujilinda lakini pia imewapa mbinu wauaji siku nyingine watachekecha kuanzia indicator ya nyuma mpaka ya mbele.

kunahaja vingozi hawa wawekewe bullet proof. Magari yao yaimalishwe kuzuia risasi za bunduki za kati.
Duh hatari.
 
Back
Top Bottom