Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Umemalizia vizuri sana hapo kwenye assumptions zako!
 
Lakini inawezekana hizo missing kazifanya makusudi ili uone jamaa ni rookie.
 
Picha zinaonesha kama lissu alikaa seat ya mbele upande wa kushoto. Na ni moja ya kosa kubwa wanalolifanya mabosi wa kiswahili.

Ukikaa nyuma kidogo unaweza ukainama risasi zikakukosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..smg siyo rahisi kupiga risasi zikaelekea eneo moja.

..pia uharaka wa waliofanya shambulizi hilo.

..vilevile mtumia bunduki alivyokuwa amekaa. Inasemekana alikuwa ndani ya gari.

.
Smg inaweza kupiga tundu moja risasi hata 30 ukiwa umbali kuanzia 50m kwa mtu ambaye ana mafunzo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.

Unatarget nini wakati huoni unachokilenga? Gari ilikuwa tinted na ile random shooting kitu ambacho hawakujua ni kuwa jamaa aliwazidi akili kwa kulaza kiti na kulala baada ya kutoshuka kwenye gari wakabakiza focus kwenye front passanger seat
 
Kweli Hapa Ni Jukwaa La Inteligency Mana Naona Umetumia Uwezo Mkubwa Sana Kutaka Kuwaaminisha Watu Kuwa Wahusika Sio Watu Wenye Mafunzo Ya Silaha.

Kwa Uwelewa Wangu Naona Kama Umejalibu Kuiepushia Serikali Kuingia Kwenye Tuhuma Hii Ya Kutaka Kumdhuru Mh Tundu Lisu.

Mana Kimsingi Unataka Watu Waamini Kuwa Kama Serikali/Polisi Wangekuwa Wamehusika Kwa Namna Moja Ama Nyingine Basi Hata Mpangilio Wa Upigwaji Wa Risasi Ungekuwa Na Ustadi Mkubwa.

Hongera Sana Kwa Kujalibu Kuinasua Serikali Na Jeshi La Polisi Kwenye Tuhuma Hizi.

Note: Cha Msingi Ni Kwamba Zile Plate Namba Ambazo Alizitaja Mh Lisu Basi Polisi Wazitaje Hadharani Kuwa Zinamilikiwa na Nani Ili Kujiondoa Kwenye Tuhuma Hizi Mzito.
 
2pac Shakur aliposhambuliwa kwa risasi nyingi na kuuwawa Suge Knight ndio alikuwa anaendesha ile BMW mbona hakuna risasi iliyompata? Unafikiri kwa kutumia kijambio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupac Shakur.jpg

Tena muongezee huyo kua Tupac aliposhambuliwa ilikua ni tarehe kama ya jana ambayo Tundu ameshambuliwa, 07th September
Murder of Tupac Shakur - Wikipedia
 
Smg inaweza kupiga tundu moja risasi hata 30 ukiwa umbali kuanzia 50m kwa mtu ambaye ana mafunzo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app

..uko sahihi 100%.

..lakini....lakini..

..inabidi silaha iwe ktk mode ya kufyatua risasi moja moja.

..vilevile lazima uwe ktk position inayokuwezesha kuidhibiti silaha. Yaani isiwe unatikisika sana pale unapifyatua risasi.

..hilo unaweza kulifanikisha kama uko kwenye sniper hole au mahali popote ambapo pana utulivu na mpiga risasi anaweza ku concentrate on his target na ameidhibiti silaha yake vizuri.

..mshambuliaji wa Tundu Lissu alikuwa ktk mazingira tofauti kabisa na hayo niliyoyaeleza hapo juu.

Kwanza alikuwa ndani ya gari. Sasa haijulikani alikuwa ktk position gani wakati akifyatua risasi.

..Pili vioo vya gari la mshambuliaji vilikuwa tinted na uwezekano walivifungua kidogo tu ili kuweza kuelekeza mtutu wa bunduki kwenye gari la Tundu Lissu.

..katika mazingira hayo naamini haiwezekani kufyatua risasi, kwa silaha yoyote ile, na zisisambae.

..
 
Mkuu ulichoandika ni mtazamo ila wataalamu wamaangalia maeneo hasa katika mwili ambapo risasi hizo zingetua.

Kama sio wataalam unadhani ni kwanini hazikwenda zaidi ya mlango wa mbele..??

Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na kuwa Lissu ni high profile target,you never know..maybe watekelezaji wa shambulizi hawakuwa na "moyo" wa kutekeleza "genuine" order,wakaamua kutengeneza story nyingine ambayo now inazaa stori nyengine ambazo huenda ndio "desired outcome" waitakayo wao ili kuzuia further orders ambazo ni mwiba kwao kuzitekeleza.
Nawaza tuu nje ya box!
 
Back
Top Bottom