unatatizo la kisaikolojia na unahitaji msaada wa kihisiaKwa hiyo waliosoma ndiyo wana haki ya kila kitu ?mama yako hakusoma ,baba yako pia ..Maisha yanawaonesha nyie ni watumishi (watumwa) , kila mtu ana haki ya kufanya vile anataka kikubwa asivunje sheria ..Kwa taarifa yako , hiyo sio elimu ni tamadauni za watu ili muendelee kuwa tegemezi kwa nchi kubwa , tumesoma ngazi zote ila tumeshtuka kama tunasoma tamaduni za watu .
wewe ndiye haujui , unachjua ni kujifunza kingereza 😀 😀 Hata wahadzabe wana elimu bila y kwenda kwenye hizo shule zenu za kizungu .Ujinga kwa sababu hujui elimu ni nini?
Tulishapita huko ukiwa bado mdogo sana , sasa tunaelewa elimu ni utapeli , ni mradi wa kutegemea vitu kutoka nje .unatatizo la kisaikolojia na unahitaji msaada wa kihisia
Tatizo kubwa la vilaza ni ujinga wa kiakili unaoathiri uwezo wao wa kufikiri vyema na hata kuweza kufanya tathmini halisi juu ya jinsi ukweli wa mambo ulivyo. Ujinga si kilema lakini ukiendekezwa hugeuka kuwa upumbavu, na upumbavu ukiendekezwa hugeuka kuwa uzuzu, yaani zumbukuku mzungu wa reli.Kuna kauli moja inasema hivi,
Naomba kuwauliza kitu kimoja, unaweza kuona MO au BAKHERSA AU GSM akikosoa na kutukana wasomi? Hapana kwa sababu ndio walioshikilia utajiri wao katika uzalishaji.
Sasa wewe mpendwa uliyepata pesa ambazo hata watoto pia ukifa leo hawawezi kurithi kwa sababu huzalishi bali unanua bidhaa zinazotengenezwa na wasomi unaowatukana, Je Huo ni woga au ujinga.
Mtu mmoja alisema hivi, Kucheka au dharau ya mjinga kwa msomi haipunguzi thamani ya kitabu, bali inaonyesha ukubwa wa giza lililomo kichwani mwake.
Wasomi ndio wanajenga na kununua bidhaa kutoka kwenu hivyo tuendelee kujenga jamii ya kuheshiamiana kwa sababu tunategemea kwa vitu vingi.
Nchi zilizoendelea hawabezani ila wanatambua nafasi ya kila mtu katika kujenga taifa.
Ndugu wasomi, pia wekezeni nguvu katika kutumia maarifa ndani ya jamii zetu ili kutatua changamoto mbalimbali zaidi na tusiwe mzigo au chanzo cha maovu katika jamii.
Tutumie elimu zetu kuishi maisha yaliyokamili huku ukitambua pesa ni matokea ya utu na jitihada zako.
Na maneno ya watu walioshindwa kifikra na kupata mafanikio haraka yasikupanikishe.
Tambua mafanikio ya haraka hujenga kiherehere ila ya polepole hujenga utu.
Tuijenge Tanzania kwa heshima kubwa.
Umenyoosha sanaTatizo kubwa la vilaza ni ujinga wa kiakili unaoathiri uwezo wao wa kufikiri vyema na hata kuweza kufanya tathmini halisi juu ya jinsi ukweli wa mambo ulivyo. Ujinga si kilema lakini ukiendekezwa hugeuka kuwa upumbavu, na upumbavu ukiendekezwa hugeuka kuwa uzuzu, yaani zumbukuku mzungu wa reli.
Wajinga wengi hupenda "short cut" ili kuficha mapungufu yao, na ili wapate mafanikio. Wasomi kwa kutambua hilo, wakitambua wana madaraka na mamlaka makubwa juu yao huwapachika vyeo vya kisomi ili kwa ujinga wao wajione kuwa nao ni wasomi, kupitia kwayo wavimbe kichwa na kufanikisha malengo ya wasomi halisi.
Mtu asiye kuwa na elimu nzuri ama akiwa mwenye elimu ya chini kwa kawaida huwa na "inferiority complex" pale anapokabiliana na msomi kihoja ama kimaono. Msomi kwa kawaida huwa ana "possess analytical skills" na wakati mwingine kulazimika ku "express critical thinking" katika mijadala yenye tija.
Ikifika hapo mtu mjinga anatumia "pre-emptive measures" kwa nguvu zake zote kumtoa msomi kwenye reli. Silaha kubwa ya mjinga dhidi ya msomi ni matumizi ya lugha zisizokuwa na staha, mf. matusi, ushirikina, masengenyo, ufitini, kuteka, kuuwa, matendo ya udhalimu na ufedhuli, na mambo mengine kama hayo.
Dhahabu hata ukiichafua kwa oil chafu ama kinyesi haipotezi thamani yake halisi. Silaha ya msomi siku zote ni wasifu wake ambao huonekana katika elimu, ujuzi, mafunzo ya vitendo, na uzoefu wake.
Chuki ya kilaza kwa msomi, haimsaidii kitu chochote, zaidi ya kumfanya a "graduate from ignorance level , then to stupidity level, and eventually to the idiocy level".
nenda vijijini hasa ambavyo elimu imechelewa utajua gharama ya ujinga. Nimefika KATAVI na nimegundua licha ya kulima sana bado ni maskini uwezo wa kusimamia pesa hawa ila nenda Kilimanjaro sasa.Wew unaongea ujinga , elimu ni utamaduni tuliojivika hauna uhusiano na hayo uliosema ..Kati ya hao waliokariri na wasiosoma nan anambeza mwenzie ? Wasomi walianza kuita watu wajinga , kwamba usomi ndiyo kila kitu , wkaati kusoma hsa elimu zetu za darasani ni utamaduni hata kama watu wasingesoma wangeweza kuzalisha bidhaa zao hata kutoa tiba zao .
Ona sasa baada ya hiyo elimu mambo ni yale yle , vimebaki vyeo ila matokeo sisimizi .
Umaskini unaongelea ni kulazimisha kitu mtu afuate mfumo fulani , leo hata wakilima lazima watufute pesa ili kunufaika na vitu vingine , kama mazao mpaka mbolea za asili zipo ..Ishu ya wengine kuwa maskini ni centralized economy , hana chaguo lingine hawezi kutoa mahindi ili kupata nyma ni lazima auze kupata pesa kwanza .nenda vijijini hasa ambavyo elimu imechelewa utajua gharama ya ujinga. Nimefika KATAVI na nimegundua licha ya kulima sana bado ni maskini uwezo wa kusimamia pesa hawa ila nenda Kilimanjaro sasa.
Ujinga ni hatari kuliko hata bomu la nuklia sema wewe unapima elimu kwa kigezo cha kazi sio maarifaUmaskini unaongelea ni kulazimisha kitu mtu afuate mfumo fulani , leo hata wakilima lazima watufute pesa ili kunufaika na vitu vingine , kama mazao mpaka mbolea za asili zipo ..Ishu ya wengine kuwa maskini ni centralized economy , hana chaguo lingine hawezi kutoa mahindi ili kupata nyma ni lazima auze kupata pesa kwanza .
Elimu inatawala sio lazima , centralized ecenomy ni mbaya hasa huu mfumo wa pesa ndiyo chanzo cha umaskini.
Hauna uelewa wa mambo , umezaliwa kuwa mpumbavu , kwamba unajua dunia ni duara , 1+1 =2 .Ujinga ni hatari kuliko hata bomu la nuklia sema wewe unapima elimu kwa kigezo cha kazi sio maarifa