Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Hata mitaani keiele zimeisha ni mtindo wa kimya kimya wengine wanajifanya kufuatilia mipira ya nje na kukejeli ya nyumbani kwake.
Jf Inawezekana kuna wengine wamebadilisha Id na kuja kivingine.
Yule kolo mkuu humu kafichama wapi?
 
5imba ndo timu iliyofungwa mechi nyingi na yanga, 5imba ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na yanga. Yanga ina makombe mengi zaidi kuliko 5imba. Au tuachane na historia, YANGA kwa sasa ipo kwenye timu tano bora africa zinazo wania tuzo ya timu bora
Ihefu 2 yanga 1
 
Ukiona timu baada ya kuifunga timu fulani ikaandaa mabango ujue hiyo timu ni changa kisoka. Ushindi unaokumbuka ni wa Simba na siyo wa timu nyingine.
Piga picha na jichukue video kwenye bango la Yanga ni burudike
Tunafurahia matusi kupungua
 
5imba ndo timu iliyofungwa mechi nyingi na yanga, 5imba ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi na yanga. Yanga ina makombe mengi zaidi kuliko 5imba. Au tuachane na historia, YANGA kwa sasa ipo kwenye timu tano bora africa zinazo wania tuzo ya timu bora
Kweli kabisa
 
Ubadilishe Id kisa umefungwa na Yanga?
Ndoto kubwa ya timu changa kisoka ni kuifunga timu kubwa na wakishatimiza ndoto
1. Hufanya sherehe
2. Hufanya mapumziko
3. Huandaa mabango km kumbukumbuku ya ushindi wao.
Timu mpk imeandaa mabango ya ushindi, watu wanajitoa picha na kujichukua video hapo kuna timu?
Nitumie picha na video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1. Niburudike
Endelea kujiliwadha
 
Back
Top Bottom