Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Matusi na kejeli mitandaoni vimepungua tangu tarehe 5 Novemba

Nakumbuka kuna timu kombe la dunia walifunga Argentina, kwao walifanya mapumziko.
Km Yanga wameandaa mabango ya 5-1, timu changa kisoka hufanya hivyo km Yanga
Kama umeifunga Simba, Siku Yanga akiifunga Al Ahly mtafanya documentary na itakuwa mapumziko siku hiyo.
Simba ni mke wetu hata nauli hatutumi ndio team tumeodinya mara nyingi
 
Tangu Simba achapike bila huruma mnamo tarehe 5 November 2023, kumekuwa na kuheshiniana miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Yale matusi yasiyo na sababu pamoja na posts za kukebehiana vimepungua sana.

Nadhani hali hii inapaswa kuendelea na kuzoeleka. Ni kitu kizuri sana
Watu wengine tunaangalia mbele kuzungumzia mambo ya maendela lakini naona wewe unaturudisha Nov 5. Leo nni Nov20. Ukitaka habari za Nov5, kuna mbango mengi huko huko mitaani, nenda kayasome. Mjadala hapa unatakiwa kuwa ni Tanzania Vs Mrocco tu.
 
1. Mpk kutengenezewa mabango ni ishara tosha ni timu kubwa.
2. 5 zinazokumbukwa ni za Simba tu.
Simba ni timu kubwa mpk meandaa mabango.
Kwani kuna timu ngapi meifunga 5?
Jipige picha na kujichukua video kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1.
Kama Simba meifunga na mkaitengenezea mabango, siku mkiifunga Al Ahly sijui itakuwaje siku hiyo
Kwani al ahly hatujawahi ifunga
 
Back
Top Bottom