KERO Matuta yaliyowekwa na Wananchi eneo la Chang'ombe Makaburini ni hatari sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna matuta katika eneo la Chang’ombe Makaburini yaliyowekwa na wananchi bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha ajali, huku baadhi ya watu wakipata majeraha.

Je, mamlaka husika hazioni changamoto hii? Ni muhimu hatua zichukuliwe ili kuhakikisha matuta hayo yanawekwa kwa utaratibu na viwango vinavyofaa, kwa usalama wa watumiaji wa barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…