gaba peter
Senior Member
- Jan 7, 2016
- 178
- 65
Au sio ilimradi uonekane na ww ni thinkers.pole sanaNiseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.
Na ashukuru Mungu hii ngoma ya iokote imempa ulaji kwa kiasi fulani lakini hatoweza kudumu sokoni kwa muda mrefu na atapata msongo wa mawazo sana na iokote yake ,kwanza imeshaanza kuchuja.
Ninatabiri hatofika mbali kimuziki, huu ni upepo wa muda mchache.
View attachment 910838
Niseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.
Na ashukuru Mungu hii ngoma ya iokote imempa ulaji kwa kiasi fulani lakini hatoweza kudumu sokoni kwa muda mrefu na atapata msongo wa mawazo sana na iokote yake ,kwanza imeshaanza kuchuja.
Ninatabiri hatofika mbali kimuziki, huu ni upepo wa muda mchache.
View attachment 910838
Acha uongo Maua Sama ajakaa THT na si msanii wa uko, Alikua anasoma Chuo Ushirika since 2009 akamaliza 2015 .....Pole sana, nimeanza kumjua huyo maua tangu yupo tht.
Ukipewa vanesa mdee na yeye unachagua naniMbona dada mzuri tuu mkuu,unamtoa kasoro binadamu mwenzako namna hii!!wewe Mungu amekupa nini cha ziada?
Darasa yupo wapi siku hizi? Sijamsikia kitambo kidogo.....Una taka kusema yata mtokea ya Darasa [emoji41]
Ni kweli, nimesoma naye Ushirika Moshi, heri degree yake angefanya kazi zingine!Niseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.
Na ashukuru Mungu hii ngoma ya iokote imempa ulaji kwa kiasi fulani lakini hatoweza kudumu sokoni kwa muda mrefu na atapata msongo wa mawazo sana na iokote yake ,kwanza imeshaanza kuchuja.
Ninatabiri hatofika mbali kimuziki, huu ni upepo wa muda mchache.
View attachment 910838
Watanzania kwa Wivu na Rohombaya ndio tuvijuavyoNiseme tu ukweli, huyu msichana uwezo wake wa kuimba ni wa kawaida sana japo kuna baadhi ya watu wachache wanampa sifa asizistahili.