Ni sawa mkuu ingeleta maana lakin sikuwa na nia mbaya niliongea hali halis maana namujua huyu dadaAndiko lako lisingegusia sura lingekosa maana???
Mungu alivyo wa ajabu hao wanawake ambao ni wazuri katika macho ya wengi (hata macho yangu pia) asilimia kubwa hawana la maana mjini wanaamini muonekano kuliko walichonacho ndani wanaishia kuliwa tu.
JokateAnashahada ya masoko na ujasiriamali kutoka chuo kikuu ushirika pale moshi,utamfananisha na mwanamziki gani wa kike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu sijakosoa bali nimeeleza sifa zakeSio vizuri kukosoa asili ya mtu. Hakuna aliepanga aumbwaje
Poa.
hata usome mpaka wapi kama sura ni mbaya ni mbaya. muangalie prof lipumba au magufuli walivyo na sura mbaya. je elimu yao imewatakatisha?Andiko lako lisingegusia sura lingekosa maana???
Mungu alivyo wa ajabu hao wanawake ambao ni wazuri katika macho ya wengi (hata macho yangu pia) asilimia kubwa hawana la maana mjini wanaamini muonekano kuliko walichonacho ndani wanaishia kuliwa tu.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]hata usome mpaka wapi kama sura ni mbaya ni mbaya. muangalie prof lipumba au magufuli walivyo na sura mbaya. je elimu yao imewatakatisha?
Jembe michakato inabana ndomana tunaonana jf kwa machale lakini tuko pamoja.
Vanessa Mdee ana LL.B toka CUEA kama sijakoseaAnashahada ya masoko na ujasiriamali kutoka chuo kikuu ushirika pale moshi,utamfananisha na mwanamziki gani wa kike?
Sent using Jamii Forums mobile app
Beauty lies in the hands of the beholder we unamuona wa kawaida ila kwa mwingine ndo malkia wake....Huyu dada ni noma mkuu hiyo sura sema tu kwa sababu ni picha lakin ni wa kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi Grace yuko vizuri kuliko Maua
Hahahahahhata usome mpaka wapi kama sura ni mbaya ni mbaya. muangalie prof lipumba au magufuli walivyo na sura mbaya. je elimu yao imewatakatisha?
Jay d kamuacha gape kubwa sana linganisha na wengineHuyu maua ndo kina jay d sabab ana kipaj ya ndani kabsa
Sawa kamandaNyota haiwezi kuonekana mchana.
Mbabe wa mchana ni JUA.