Kweli mkuu yeye anazan kubukua ndo kuwa na sura nzurhata usome mpaka wapi kama sura ni mbaya ni mbaya. muangalie prof lipumba au magufuli walivyo na sura mbaya. je elimu yao imewatakatisha?
Poa poa kamanda pamoja sanaJembe michakato inabana ndomana tunaonana jf kwa machale lakini tuko pamoja.
-Ndumilakuwili-
Hakuna kitu hicho kwenye uzi wangu nionesheSi umemtaja kwenye uzi wako mkuu. Rehema.
Sijakataa bos pia sikuwa na maana hiyoBeauty lies in the hands of the beholder we unamuona wa kawaida ila kwa mwingine ndo malkia wake....
Fallacy of generalization.Mwanamke anayeringia uzuri wake fahamu kwamba kichwani hana kitu!
Na unajua wao hawajakosa wake hawajakosa watoto na bado wana pesa za kukidhi mahitaji ya muhimu. Mwisho wa siku uwe mbaya mzuri au wakawaida ukijua unataka watu kama nyie mnabaki irrelevanthata usome mpaka wapi kama sura ni mbaya ni mbaya. muangalie prof lipumba au magufuli walivyo na sura mbaya. je elimu yao imewatakatisha?
Fallacy of generalization.
Kuna wadada wazuri kama wameshushwa, financially independent and very smart upstairs!
Pia kuna wadada wabovu kuanzia sura mpaka akili.
So let's not judge billions of people out there, by the characters of a few we've met!
- KANA -[/QUOTE
Nadhani mwandishi hajaamanisha wote kasema wale wanaoringia uzuri na kuacha sekta nyingine za maisha.
Nakupa mfano Nina mtu namjua ni mzuri na kasoma katika rafiki zake yeye pekee hajaolewa na mbaya zaidi ni single mother. Kwa nje hamna kitu anakosa ukiwa nae karibu utamuona tu hiyo kukosa mume inamgusa.
Cha ajabu kutwa kukosoa wanaume wabaya and na yeye kujiona ni mzuri kwa vikauli vya hapa na pale.
Angalia hata watu maarufu sana wa bara la Africa acha Tanzania( wadada maarufu wengi hawana mafanikio ya kukufanya utamani career yao) utagundua uzuri una mchango mdogo sana kwenye mafanikio.
We nawe kuparamia vitu ambavyo hujaelewa. Soma kuelewa sio kujibu tu. Soma andiko langu uelewe kama linamaanisha kusoma ni uzuri.
Bas nisamehe dada tuko pamoja pole kama nimekuumizaWe nawe kuparamia vitu ambavyo hujaelewa. Soma kuelewa sio kujibu tu. Soma andiko langu uelewe kama linamaanisha kusoma ni uzuri.
Ushirika ndo wap na ushirika wa niniNmemuacha ushirika akiwa anajiunga shahada kutoka diploma, yupo charming ni mzuri mbona , enzi hzo alikuwa na chunusi nyngi sana na spot usoni sijamwona kama miaka 4 hivi ila inshort she s cute
Kuna wengine ni waZur lakin kichwani ni hakuna hivyo hivyoMwanamke anayeringia uzuri wake fahamu kwamba kichwani hana kitu!
Chuo kikuu cha ushirika moshi maarufu kama Muccobs
Ana saut ya kumutoa nyoka pangonile sauti sio ya nchi hii, kipaji anacho
Samahan kiongoz tusameheanewe ni nani mpaka umseme huyo dada ana sura mbaya? sentesi moja inaweza kupoteza maana ya uzi mzima
Hapo nimekuelewa kiongoz wanguChuo kikuu cha ushirika moshi maarufu kama Muccobs