Fallacy of generalization.
Kuna wadada wazuri kama wameshushwa, financially independent and very smart upstairs!
Pia kuna wadada wabovu kuanzia sura mpaka akili.
So let's not judge billions of people out there, by the characters of a few we've met!
- KANA -[/QUOTE
Nadhani mwandishi hajaamanisha wote kasema wale wanaoringia uzuri na kuacha sekta nyingine za maisha.
Nakupa mfano Nina mtu namjua ni mzuri na kasoma katika rafiki zake yeye pekee hajaolewa na mbaya zaidi ni single mother. Kwa nje hamna kitu anakosa ukiwa nae karibu utamuona tu hiyo kukosa mume inamgusa.
Cha ajabu kutwa kukosoa wanaume wabaya and na yeye kujiona ni mzuri kwa vikauli vya hapa na pale.
Angalia hata watu maarufu sana wa bara la Africa acha Tanzania( wadada maarufu wengi hawana mafanikio ya kukufanya utamani career yao) utagundua uzuri una mchango mdogo sana kwenye mafanikio.