Mauaji baada ya Maandamano pia yamefyeka Omba-omba na wasio na makazi

Mauaji baada ya Maandamano pia yamefyeka Omba-omba na wasio na makazi

Ila polisi Wana mbinu nyingi sana za kukabiliana na maandamano haramu.mwanzo kama walizidiwa lakini ghafla wakapata mzuka wakazima huo uharifu wa WAHUNI waliojiita GenZ
Aliyesababisha haya mauaji kufanywa na Polisi ni CDF baada ya kuwaruhusu JWTZ kusaidiana na Polisi sababu polisi walikuwa wameshindwq kazi.

Baada ya JWTZ kuingia mtaani ndio wakaanza kufungua barabara kwa kuondoa magogio, mawe nk ndipo polisi wakatumia njia hizo kupita na kuanza kuua watu.

Yaani ICC watakwenda wengi na damu za waliouawa hazitawaacha salama, wengine lazima watawewuka!
 
Hotuba ya Rais, kokote duniani, hulenga kutuliza nchi, kuhimiza amani na umoja, na kutoa mwelekeo wa maendeleo kwa wananchi, hususan vijana. Kwa hiyo, badala ya kuichukulia kama tishio, vijana wanapaswa kuiona kama mwongozo wa kutenda kwa busara, kuchukua tahadhari, na kuzingatia sheria ili kujenga taifa lenye utulivu na matumaini kwa wote.
#tanzania #vijana #youth #politics #siasa #amani #africa
wavimba_20251205_072631_0000.png
 
Back
Top Bottom