binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Polisi mmeonea mno watu na kudhulumu uhai wa watu wenu. (Iwe mmeua au kwa kushindwa kulinda uhai wa watu wenu)
Niliona yule Masai, moja ya watu waliochiwa kwenye kesi ya uhaini,alivyolia kimya kimya nduguze walipomkumbatia, ni wazi hana hatia na huenda alikuwa kwenye lindo, sasa tujiulize ni wangapi wa aina yake, wasio na makazi etc.
Hizo pesa mnazochotewa na Abduli kwenye hizo task force zenu zinatokana na wananchi/zingetokana na wananchi hawa mliowaua kikatili. Mikopo tunayopokea inalipwa na makusanyo yanayotoka kwa wananchi wote.
Abdul hana kisima cha mafuta….na hata kama anacho hawezi kutoa pesa zake kuwalipa ninyi kunguru pori.