OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama ni hivyo basi wana jambo zito la kujibu. Bahati mbaya serikali imejiingiza kwenye ujinga wa kiasi hiki.Tarime ndugu wametoa matamko kama ilivyokuwa mtwara, Ifakara na sehemu nyingi tu.
Kwa nadharia uliyoweka hapo basi ni sahihi kuwa polisi Ina jambo zito la kujibu.
Tofauti ya mtuhumiwa wa ujambazi na jambazi ni muhimu kuzingatiwa achilia mbali sheria.