OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama ni hivyo basi wana jambo zito la kujibu. Bahati mbaya serikali imejiingiza kwenye ujinga wa kiasi hiki.Tarime ndugu wametoa matamko kama ilivyokuwa mtwara, Ifakara na sehemu nyingi tu.
Kwa nadharia uliyoweka hapo basi ni sahihi kuwa polisi Ina jambo zito la kujibu.
Tofauti ya mtuhumiwa wa ujambazi na jambazi ni muhimu kuzingatiwa achilia mbali sheria.
Sawa wameua majambazi, lakini je kazi ya polisi ni kuua au kukamata na kupeleka mbele ya Mahakama Ambao ndio wakata mashauri?
Tanzanian Gestaposometimes its difficult to find truth until a man in the long black coat knocks on your Door .
Who is this man in the long black coat?sometimes its difficult to find truth until a man in the long black coat knocks on your Door .
Tuliwachekea hawa Polisi wataendelea kufanya huu upumbavu wao
Kazi ya Polisi ni kuzuia uhalifu na kukamata wahalifu wote na kuwafikisha Mahakamani na sio kuuwa wahalifu.
Polisi wamegeuka kuwa genge la wahalifu
Who is this man in the long black coat?
Mara mna haki ya kuandamana kupiga uendawazimu na ushetani wa mapolisi!
Jambo la kikatili kabisa hili na ambalo wenye kumcha Mungu wanatakiwa kulilaani kwa nguvu zote!
Ukweli upo wazi kwa wanandugu....nasikia Hadi postmortem Polisi wamechukua. Mwenyekiti alieleza vizuri kuwa jamaa siyo mwizi. View attachment 2372662