Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Indeed.Killing a fellow human being is the greatest evil in mankind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Indeed.Killing a fellow human being is the greatest evil in mankind
Mbona wenye lips kama hizo.wamejaa mtaani na hawauawi?Kwa hizi lips huenda ni wivu wa kimapenzi
Sawa nimekuelewa.Mdada wa watuuView attachment 2109346
Yale yaleeee! Inatisha sana.Afisa Ustawi wa Jamii Mahabusu ya Watoto Mbeya, Gloria Kibira amekutwa amefariki nyumbani kwake ndani ya Mahabusu hiyo ,Jijini Mbeya!
Taarifa za awali zinaonyesha kuwa alikutwa amefariki mida ya saa tatu usiku tarehe3.2 baada ya marafiki zake kumtafuta Kwa simu na akawa hapokei.
Watoto wake walikuwa shuleni, na baada ya kurudi nyumbani walidhani mama yao hajarudi kazini na wakaamua kupika, kula na kulala! Baadaye wafanyakazi wenzake waligundua maiti chumbani kwake.
Pamoja na taarifa rasmi ya tukio Hilo haijatolewa, lakini inasemekana kuwa huenda Afisa huyo aliuawa
Marehemu ameacha watoto watatu.
Baadhi ya majirani wameeleza kuwaa ulinzi ktk eneo Hilo linaloendeshwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii sio madhubuti.
Mwili wa marehemu umesafirishwakwenda Bukoba kwa mazishi
Madaraka yalianza kwa kutoa kafara lazima sadaka iendelee ili kusastain.vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifo vifoooooooooooooooooooooooo!
Sura tamu kama hii ninyonge kwa sababu gani,?????Mdada wa watuuView attachment 2109346
Mimi nilikuwa nawaza kama wewe, nikafikiria sana mwisho nikaona hivi haya yote yanayotokea huenda ni kwa sababu ya huu uhuru wa vyombo vya habari na vyanzo mbali mbali kama mitandao ya kijamii vimechagiza haya yote tunayoyashuhudia leo na jana yaonekane na yafahamike?Najiuliza maswali mengi sana ni technology imechukia advantage au nn kwenye hii nchi yangu ya maziwa na asali?
Kila kukicha na jambo jipya la ama mauaji ama kujinyonga.
Haya mambo huko siku za nyuma hatukuyasikia au kuyaona kwa sasa kulikoni?
Au wapi tunafeli Watanzania? Hatukuzoea kuona mambo kama haya so habari hizi sasa naona zishakuwa uniform kwa Tanzania nzima
Ni wakati sasa vyombo vya sheria na mamlaka za miji midogo kujitathimini!
Hayo ni mawazo yangu
200% TrueKilling a fellow human being is the greatest evil in mankind
Kwamba hapo sirro anahusika vipi? Au ndio siasa zenu!Afisa Ustawi wa Jamii wa Kituo cha Mahabusu ya Watoto kilichopo Kabwe Kata ya Iyela Jijini Mbeya Groria Kibira(38) amekutwa ameuawa kwa kunyongwa na Watu wasiojulikana kwenye nyumba yake ambayo ipo ndani ya eneo la Kituo cha Mahabusu hiyo .
Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema Watu wawili wanahojiwa ili kubaini chanzo cha mauaji "Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda Bukoba Kagera kwa ajili ya maziko.
Chanzo: Millard Ayo
My take: Simon Sirro unatafutwa, mfuate Ndugai tu.
Hii familia naifahamu,mama ya marehemu ni mtu poa sana mlokole wa watu,hata watoto wake wote including marehemu na wengine ni watu poa sana
Dah mrembo kaniuma sana huyu mrembo tumuombee mama yake ni mjane ,tuwaombee na watoto wakeFuatilia basi tujue kilicho msibu mtoto mrembo