SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kauli ya RC ndiyo unaita visingizio? Lawama zote kwa Polisi, na hii ni indicator kwa Simbachawene kuwa mambo siyo ya kitoto kwenye desk lake jipya.Mtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Mimi siyo muumini wa mtu yeyote
Je huko Lindi walikokufa watu zaidi ya 20 kwa mafuriko ilikuwa ni baraka za mungu kwao kwa kuthamini wema wao? Watu wa moshi wamebarikiwa sana,na ndiyo maana kucha hulali kwa wivu.Mtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
TB Joshua alishatoa KAFARA kipindi kile tena yeye aliwatoa watu wengi zaidi ya mwamposa na sasa ana utajiri wa kutisha kuliko mwanzoT.B Joshua alisema kuna helikopta ya Boko Haram ndio imetungua jengo lake!.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti mtu anishawishi ninunue CD za comedy? Viongozi wa nchi hii wote comedians haina haja ya CD!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli!ndio hivyo kesi imeshaisha
Binti mmoja ambaye ni muhanga wa tukio amesema kila alipotaka kuinuka baada ya kuanguka alishtukia anapigwa makofi na kukandamizwa asiinuke!RC YUKO SAHIHI.kuna mama moja akijieleza anasema alisukumwa akaanguka eneo hilo wakachukua pochi na simu na viatu vyake akiwa chini akasema wanawake wengi waliporwa vitu vyao pochi ,simu nk
Hata uwanja wa taifa mpira huisha saa 12:30 lakini watu huendelea kutoka hadi saa 2 usiku!So kama walipanga vzr kwa nini mkutano uende mpka saa moja na nusu usiku??
Sababu zote zimeelezwa na RC wa Kilimanjaro na kuwekwa sawa, kwa maelezo haya Mwamposa hana kosa lolote,
Mungu prove wrong watu walio kuwa wana msema vibaya mtume, sio bure hapa, walio vamia watakuwa walitumwa kuja kumchafua mtume, [emoji848]
Lawama kwa Polisi intelijensia yao ili fail. Mbona kwa wapinzani inakuwa very effective?RC YUKO SAHIHI.
Kuna mama moja akijieleza anasema alisukumwa akaanguka eneo hilo wakachukua pochi ,simu na viatu vyake akiwa chini akasema wanawake wengi waliporwa vitu vyao pochi ,simu nk
Ngoja huko kwenu wafe mia,urudi kutuletea mrejesho kuwa ni zaidi ya laanaMtaleta visingizio vyote ila sababu hasa ni laana, watu wa huko wana chuki sana!
Mods naomba hii clip muipandishe pale kwenye thread......Ni muhimu.vibaka waliingia toka nje