Polisi ni waonevu na ni matapeli, acheni kabisa. Raia waliowahi kukutana na kadhia ya kutapeliwa, kuonewa, kupigwa, kubambikizwa kesi, kufilisiwa mali zote, rushwa, kunyanyaswa na askari polisi wanajua uchungu wake. Askari ni wazee wa michongo nchi hii.
Ni muda mrefu sana sasa raia wamefikia hatua ya kuwachukia sana polisi. Na haya ndio madhara ya chuki hizo watu wanaamua kujitoa ufahamu na kulipiza kisasi.
Ref: Matukio ambayo askari wamefanya kuanzia 2015, kupiga wapinzani, kubambikiza kesi, kuua, kuteka watu, kutumika kisiasa, kuvamia, kubambikiza makosa ya barabarani.
Yote tisa, huyu mshikaji kama ni kweli alidhulumiwa na kutapeliwa na askari polisi basi amekufa kiume kweli kweli.