Kuna kesi za mauaji kama haya zaidi ya 76 nchi nzima, zilizokwishatokewa hukumu ni 5 tu na kati ya hizo tano watuhumiwa wengine wameachiwa huru kwa rushwa.
Lkn pia muuaji unamfunga ili iwehe? Huko si kubadilisha tu style ya maisha?
Katika hali kama hii unategemea wananchi wasichukue sheria mkononi?
Serikali legelege haioneshi nia ya dhati kukabiliana na hili jambo.
Mkuu usinitafutie balaa please! Mie nimetoa mfano tuuwewe unautani na mzee wa vijisent kumbe? subiri yakukute.
lakini hata hivyo hayo uyasemayo ni kweli kwa asilimia kubwa sana. sehemu kubwa ya hawa viongozi wetu ni washirikina. na wala sio hao wa mikoa husika tu ila ni karibia nchi nzima. nchi hii inaendeshwa kishirikina wala sishangai kuchelewa kwenye maendeleo.Mkuu usinitafutie balaa please! Mie nimetoa mfano tuu
Kitu ambacho kilikuwa wazi sana ila sijasikia mtanzania aiyeng`amua ni pale Police walipojiwekea malengo ya kihuni kuwa watamtafuta akiwa ahai au amekufa..yule mkuu wa mkoa mwenye aliyeshindwa arusha bingwa wa kuropoka na kutumia madaraka vibaya Mulongo AKAJISIFU KUWA SERIKALI INA MKONO MREFU NA WATAMTAFUTA AKIWA HAI AU AMEKUFA.Maana yake nini...?wamekausha kifo,na wanaojificha kuwa watapata mwili.Na wezi wakawapata nafasi kuwa shida si kumuua ila kumpata.Huwa Watz hawana muda wa kufikiri kuanzia wanachoongea hadi wanachotenda au hata hatari iliyopo.Sikuwahi msikia mti akiwatahadharisha kutomuua..na very soon ikawa km nilivyoona. kapatikana Kauwawa kwani walichotaka majangili wa albino hakikuwa haramu ktk macho ya MACCM.Na huu uzembe utauona hata hapa JF kuna mods wajinga ila hawapo honets enough kukubali kuwa hawajui.Mada nyingine hawawezi zimeza ila zina maana sana ktk usitawi na usalama wa nchi.Ni jambo la kuudhi tena la kukatimisha tamaa kuona kuwa hadi hivi sasa hakuna mtu aliyekamatwa kufuatia wimbi la mauaji ya ndugu zetu wenye matatizo ya rangi ya ngozi ambao wanajulikana kama Maalbino. Taifa ambalo limeweza kupelekeka wanajeshi zaidi ya 700 kwenda kumng'oa Bakari wa Comoro limeshindwa kufuatilia wauaji wa maalbino ambao wanafanya hivyo with impunity. Hivi kwanini Rais Kikwete anaamini kuwa kwa "kukemea" mauaji hayo yatakoma? Viongozi wa dini wanayakemea na wa serikali wanatoa maonyo ati wauaji hao "wakome mara moja" tabia hiyo! Nikiwa mmoja wa watu waliopitia elimu ya tabia naamini kuwa tunachoshuhudia ni kuibuka kwa serial killing katika Tanzania ambapo walengwa ni maalbino. Ni sawasawa kabisa na mauaji ya mfululizo yanayofanywa dhidi ya makahaba, vikongwe n.k ambayo wengi tunaamini ni "ushirikina" kitu ambacho kinatupa udhuru wa kushindwa kufuatilia. Naamini mauaji ya maalbino yanatokana na reward ya mauaji yenyewe kwa wauajji na watu hao hawatakoma hadi watiwe pingu. Kama tumeshindwa kuzuia wizi wa fedha za umma, ina maana kina manumba na RO wameshindwa hata kulinda usalama wa maalbino wa Tanzania?
CCM ni wauwaji...kuna ushahidi usio na shaka kwamba mtoto aliyeuawa juzi ni viongozi wa CCM wasaka urais kundi la mwigulu ndi waliohusika.....Kuna ushahidi wa wazi...narudia...wakati ukifika tutayaweka wazi
Yericko Nyerere acha bangi za asubuhi asubuhi, sasa hilo gobole la kwenye makumbusho ya Mkwawa kule Kalenga lina tatizo gani Kinana akishika? Mbona kila mtu akienda pale makumbusho analishika?
Mtaalamu wa majungu na hadithi za uchonganishi!
I hope you put your head to better use!!!
Mkuu toka posti yako ya kiuzushi wiki iliyopiya juu ya mapigano ya Amboni, ambapo ulisema ni polisi na polisii wanarushiana risasi, mi nilikutoa maanani.Wewe ni jungu kubwa na mkuu wa majungu humu JF.
Lete picha yako ukiwa umelishika hilo gobole
Albino wote wanauwawa wahusika wanakuwa wanatumwa na viongozi wakubwa wa ccm hilo wazi .kuhusu uhusiano wa silaha zinazoibiwa kwenye vituo vya polisi zinawezekana zikawa hujuma za Chagonja na Kinana kumwaribia IGP Mangu