Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Kuna kipindi kinaendelea sasa kinajadiri mauaji ya Albino yanayoendelea Tanzania. Wanajadiri kupitia kipindi kinachoitwa The Stream, ni kipindi ambacho watu kutoka maeneo mbalimbali kupitia Skype ujadiri kwa pamoja. Kuna Albino kadhaa wa Tanzania wameunganishwa.

Mhusika mmoja wapo anasema Mwaka 2009 Pinda alilia na akapiga marufuku uganga wa Tunguri, lakini baada ya Waganga wa kienyeji kuwatishia wanasiasa kuwa kama wataendelea kuwafungia basi hawatatoa huduma kwao katika uchaguzi unaofuata (2010). Baada ya mkwara huo, Pinda na serikali yake wakawaruhusu tena wapiga tunguri, na mauaji yakaendelea kama kawaida kwenye uchaguzi. Pia jamaa wanasema kuwa asilimia 60 ya Watanzania uenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta huduma.

Al Jazeera inatazamwa na dunia nzima, hii ni aibu. Inaonesha, wakati wenzetu wanatumia akili nyingi kuvumbua mashini za kuchimba madini kirahisi na kupata madini mengi, sisi tunakimbiza Albino tukidhani wao ndio wanaoleta kwa wingi.

Kumbe kilio kilikuwa cha kifurahia ukatili husika!
 
safi sana dada vicky ntete.....ngoja dunia itusaidie kuwalinda nahisi tumeshindwa
 
Shabash!
KUNA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA "EAST AFRICA WAKIJADILI UGAIDI KWA SHINIKIZO LA USA" Wakati Tanzania kuna uharamia wa kuwaua na,kuwajeruhi Albino.hili la ugaidi ni la kulazimisha na kujitakia ,lakini janga ni hili la Albino na serikali imeufyata soma habari hii ya kutisha kuliko Alshabab,

Since 2008, at least 62 albinos have been killed in Tanzania, 16 have been violently assaulted and had their limbs amputated and the bodies of 12 albinos have been exhumed from graves and dismembered.

Against this background, it is perhaps not surprising that estimates of the numbers of albinos in Tanzania vary significantly. Officially there are around 5,000 registered, but the country’s Albino Association says the real number is in excess of 150,000. They say that many albinos are still kept hidden by their families because of the stigma some associate with the condition or because of fear that they might be attacked.

Sasa Nchi inakimbilia kwa wasomali wanaopigana wenyewe kwa wenyewe inawaacha raia wake mdhulum
Hii akili gani?
 
Wakati tatizo la ukataji wa viungozi kwa walemavu wa ngozi (Albino) likiendelea kuwepo nchini Tanzania.

Nashawishika kuwa si serikali wala Wizara ya Afya imeimetimiza wajibu wake ipasavyo kwa kutoa ushauri nasaha kuhusu chanzo cha tatizo na jinsi linavyotokea kizazi hadi kizazi.

Ushauri nasaha "Genetic cancelling" hutolewa nchi nyingi kwa magonjwa ya kurithi ‘inheritable disorder' ili walio nao na wasionao wajue undani wake na jinsi ya kukwepa.

Kinachoendelea Tanzania ni kujaribu kutibu matokeo badala ya kuzuia.

Kwa wanaojua magonjwa ya vinasaba (chembechembe za mwili) au Chromosome segregation za albinism (AA, aA, aa) ni dhahiri tungeweza kuliondosha kabisha tatizo hili baada ya vizazi/ generation vitatu hivi kama wahusika watatimiza wajibu wao.
NB: Samahani Kama nimewaudhi (offend) katika thread hii.
 
Attachments

  • Al.jpg
    Al.jpg
    10.2 KB · Views: 46
bado sijaona sababu uliyotoa, unachojaribu kusema ni kuongeza carriers wa albinism

Genetic Counselling ni ushauri tatizo linapokuwepo, sasa utaliwekaje kwa mfano wote ni albinos, wakicross wote watoto watakuwa albino

Genetic Engineering (cloning) ingekuwa ni msaada mkubwa ila hatuwezi! Cloning imefanyika akina Rooney visahara vimetoweka

Kama hatuwezi basi tuelimishe jamii na kuweka sheria kali za kuwalinda ndugu zetu wenye melanin kidogo
 
Mkuu hujanielewa. Mtafute daktari akuelimishe. Hata hiyo cloning unaozungumzia unapotoka. Ronney aliotesha nywele ni kama skin transplant, nafikiri (lay) unachukua ngozi ya kichwa yenye nywele onaotesha maabara halafu inaongezeka unabandika. Kuna high tech ambayo sitaeleza hapa.
 
Wakati tatizo la ukataji wa viungozi kwa walemavu wa ngozi (Albno) likiendelea kuwepo nchini Tanzania.

Nashawishika kuwa si serikali wala Wizara ya Afya imeimetimiza wajibu wake ipasavyo kwa kutoa ushauri nasaha kuhusu chanzo cha tatizo na jinsi linavyotokea kizazi hadi kizazi.
Ushauri nasaha “Genetic cancelling” hutolewa nchi nyingi kwa magonjwa ya kurithi ‘inheritable disorder’ ili walio nao na wasionao wajue undani wake na jinsi ya kukwepa.
Kinachoendelea Tanzania ni kujaribu kutibu matokeo badala ya kuzuia.

Kwa wanaojua magonjwa ya vinasaba (chembechembe za mwili) au Chromosome segregation za albinism (AA, aA, aa) ni dhahiri tungeweza kuliondosha kabisha tatizo hili baada ya vizazi/ generation vitatu hivi kama wahusika watatimiza wajibu wao.
NB: Samahani Kama nimewaudhi (offence) katika thread hii.

Mkuu kama unamaanisha ushauri basi ni counselling and not cancelling. Ya kwanza ni ushauri ya pili ni "kukata".
Mimi ni mara ya kwanza nasikia terminology ya Genetic Councelling. Labda Genetic Disorder Councelling. Na hii hufanywa kwa waathirika wa tatizo ili waweze kuishi normal lives against stigma za society.
Ila kiukweli hakuna counselling ya aina yeyote inayozuia genetic disorders labda uwashauri watu against incest.
Na mara nyingi watu wanapokutana na kutafuta mtoto hawajui kama wanabeba recesive gene ya albinism sababu wao wanakua sio albino.
Sasa unless unataka nchi nzima watu wapimwe DNA kabla ya kuona na wakionekana wana recesive albinism genes wazuiewe kuoana, hakuna njia imaginable ya kuzuia albinsm.
By the way, gene mapping is an extremely expensive affair which makes even the above proposal unrealistic.
 
ahsante mkuu, wewe unaeleweka vyema kuliko ambiente guru
 
Mkuu unachoshauri ni kama zamani wazee wetu walikuwa wanafanya yaani ukienda kuoa/kuolewa wanaanza kuhoji kama kwenu kuna mazeluzelu..,

Na ili ueleweke ungesema kwamba ili mtoto azaliwe kama albino lazima wazazi wake wote wawili wawe carries wa hii gene inayotoa albino..

Sasa cha kujiuliza ni kwamba je ni sahihi kwa watu kuanza kuchagua wenza kwa kuogopa/kuepuka albinism ?
 
Mimi ni mara ya kwanza nasikia terminology ya Genetic Councelling. .

Wewe nakushangaa uko uko humu JF ya "Great thinkers" wakati ni mbumbumbu na mvivu wa kusoma. unataka kulisha watu ujinga.

nenda google au Wikipedia utakuta maneno haya

=== Genetic counseling: An educational counseling process for individuals and families who have a genetic disease or may be at risk for a disease to facilitate ...
 
Mkuu unachoshauri ni kama zamani wazee wetu walikuwa wanafanya yaani ukienda kuoa/kuolewa wanaanza kuhoji kama kwenu kuna mazeluzelu..,

Na ili ueleweke ungesema kwamba ili mtoto azaliwe kama albino lazima wazazi wake wote wawili wawe carries wa hii gene inayotoa albino..

Sasa cha kujiuliza ni kwamba je ni sahihi kwa watu kuanza kuchagua wenza kwa kuogopa/kuepuka albinism ?

Kweli Mtaalmu, wazee walifanya utafiti katika koo kabla ya watoto kuoana. Mfano Wachagga wana sherehe (pombe) ya awali ya ''Kuchimba ukoo"" au "Kisuma meeko" utafiti huu hudhihirisha kama kuna magonjwa ya kurithi mfano epilepsy, c.a au congenital heart diseases katika ukoo.

bado sijaona sababu uliyotoa, unachojaribu kusema ni kuongeza carriers wa albinism

! Cloning imefanyika akina Rooney visahara vimetoweka
Mkuu hujanielewa. Mtafute daktari akuelimishe. Hata hiyo cloning unaozungumzia unapotoka. Ronney aliotesha nywele ni kama skin transplant, nafikiri (lay) unachukua ngozi ya kichwa yenye nywele onaotesha maabara halafu inaongezeka unabandika. Kuna high tech ambayo sitaeleza hapa.
 
Wewe nakushangaa uko uko humu JF ya "Great thinkers" wakati ni mbumbumbu na mvivu wa kusoma. unataka kulisha watu ujinga.

nenda google au Wikipedia utakuta maneno haya

=== Genetic counseling: An educational counseling process for individuals and families who have a genetic disease or may be at risk for a disease to facilitate ...

Hahahaha. Kati ya kitu ambacho nina uhakika nacho ni akili yangu. Na kingine ambacho nina uhakika nacho ni kwamba nina akili ya kuelewa jambo kuliko wewe. Namaanisha akili yako ni ndogo ukiringansiha na yangu. Sikutukani nina kwambia facts tu.
Sasa wewe ni dhahir umebobea katika kucopy na kupaste tu bila kuelewa unachokiongelea, na kama lugha ya kingereza ni ngumu kuelewa usipende kukurupuka, uliza ueleweshwe kama nami nilivyouliza na kujua kuwa kumbe hata wewe hujui.

STUPID QUESTIONS MAKE MORE SENSE THEN STUPID MISTAKES.

Sasa basi according to wikipedia:
Genetic counseling is the process by which patients or relatives at risk of an inherited disorder are advised of the consequences and nature of the disorder, the probability of developing or transmitting it, and the options open to them in management and family planning. This complex process can be separated into diagnostic (the actual estimation of risk) and supportive aspects.[SUP][1][/SUP]The National Society of Genetic Counselors (NSGC) officially defines genetic counseling as the understanding and adaptation to the medical, psychological and familial implications of genetic contributions to disease.[SUP][2][/SUP] This process integrates:

  • Interpretation of family and medical histories to assess the chance of disease occurrence or recurrence.
  • Education about inheritance, testing, management, prevention, resources
  • Counseling to promote informed choices and adaptation to the risk or condition.

Sasa wewe unasema kuwa tufanye genetic counseling ili ku prevent albinism. Ninachokwambia mimi ni kwamba, kutokana na characteristics za albinism kwamba ni recessive trait na inajitokeza phenotypically pale tu two recessive genes zitakavyokutana ni UNFEASABLE kufikiria kulimaliza hilo tatizo kwa hio njia. Counceling ya Genetic disorder lazima iambatane na upimaji kwanza ili kudetermine hio genetic disorder.
Idealistically ni kwamba itabidi upime watu wote kabla ya ndoa (assuming watoto wote huzaliwa baada ya ndoa,which is ludicrous) na ukiona kuwa both partners wana recessive gene ya albinism UWAZUIE kuoana.
Sasa basi, mpaka hapo ukitafakari vizuri nani mbumbumbu kati yangu mimi nawewe?
Kwasababu ninaimani wewe ni mbumbumbu zaidi inawezekana hata baada ya hayo maelezo ukawa hujaelewa.

Kuweka in a simple way kusaidia a simple mind:
Huwezi kupima watu wote kabla ya kujamiiana ili eti uone kama wana albinism genes na uwazuie kuzaa. Hili ni kosa at many levels, ethically, legally na hata mentally kwa kweli achana na kwamba gharama zake ni astronomical kwa hata nchi tajiri kuliko zote duniani.
Tafadhali kubali kuwa umeelewa lasi hivyo itakua unajitukana sana ukisema hujaelewa.
Usipoelewa kitu uliza, usiparamie. Halafu word of advice kabla ya kum challenge mtu humu ndani mwangalie kama ni heavy weight au feather weight uta aibika.

Sasa basi according to wikipedia:
Genetic counseling is the process by which patients or relatives at risk of an [URL="http://

[... [/FONT]
[/B]

Mdau: You are hypocrite

Ulianza ku-attack hoja kwa kusema "genetic coucelling" HAIPO NA NI UZUSHI!

nimekupa assignment ya ku-ggoogle umepata majibu.

Sasa unawadanganya umma,wanasiasa, wana JF na medical students kuwa haisaidia tatizo la Albinism.

Nenda tena kwenye Website ya University ya Maryland utakuta fact hizi

Prevention

Because albinism is inherited, genetic counseling is important. People with a family history of albinism or hypopigmentation should consider genetic counseling.

Source: Albinism | University of Maryland Medical Center http://umm.edu/health/medical/ency/articles/albinism#ixzz3DkcxewHC
University of Maryland Medical Center I kuwa serikali

Hoja yangu ni kuwa genetic counceling itasaidia na kwamba sirikali na Wizara ya Afya haijafanya kazi ya kutosha katika kukabiliana na tatizo hili kwa kuelimisha umma jinsi ya kuzuia albinism.

Mfano albinos kwa albinos wamekuwa wakioana (aa vs aa) wakati tayari wana phenotypic expression of albinism. Koo zao pia wanaoana. Genotypically you can't identify them 100% bila maabara za kisasa but apperenty you can see it in the colour of carrier eyes and you can trace them through family or descendants history probing as supported by research of Maryland University and others. This is applicable to other inheritable disorders such as epilepsy, ca and congenital heart diseasesCiao ! Na kutafutia data ya population ya albino duniani na utaona tofauti kati ya nchi maskini na tajiri.
 
Mkuu hujanielewa. Mtafute daktari akuelimishe. Hata hiyo cloning unaozungumzia unapotoka. Ronney aliotesha nywele ni kama skin transplant, nafikiri (lay) unachukua ngozi ya kichwa yenye nywele onaotesha maabara halafu inaongezeka unabandika. Kuna high tech ambayo sitaeleza hapa.

sivyo, unavyofahamu ni makosa kabisa na inabidi usome kuhusu STEM CELLS
 
Back
Top Bottom