Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.
kuna kesi nyingi sana za watu waliokamatwa na viungo kabisa na kukiri lakin hazijapatiwa hukumu wako wanakula ugali wa kodi zenu bure tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.
Si kwamba sijui hiyo sheria ipo. Issue ni kwamba je imesaidia kuwaokoa albino? Nadhani kama tuifa lazima tuchukue hatua sasaIpo Witchcraft ordinance ya 19....(?) inakataza ku-posess vita kama hivyo
kwani mpaka upewe kazi na usalama wa taifa? we haujuwi maana ya polisi jamii?
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.
Unajua maana ya itelejesia, mimi nataka nipate mawasiliano na usalama wa taifa nifanye nao kazi.
Nimetoa ushauri siasa tuweke kando tuchukue hatua