srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,195
- 4,013
kuna kesi nyingi sana za watu waliokamatwa na viungo kabisa na kukiri lakin hazijapatiwa hukumu wako wanakula ugali wa kodi zenu bure tu
Kodi yako si unailipia marekani wewe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kesi nyingi sana za watu waliokamatwa na viungo kabisa na kukiri lakin hazijapatiwa hukumu wako wanakula ugali wa kodi zenu bure tu
Heheheheeerr poleeee yako kila saa unawaza ubuyu tu,nilihisi....nikauliza, kuna ubaya gani?
Ulivyosema kua nimekosea lilikua jibu tosha, vinginevyo unaonesha ni jinsi gani ulivyo empty kichwani.
kwa nchi hii, wangemwacha huru. kuficha wanunuaji.
Kodi yako si unailipia marekani wewe??
hasira hasara. Wamepoteza ushahidi.
wakiuawa mawakala wawili tena hio biashara ya kuua albino itakwisha.
Wamemuonea ushahidi hamna.wananchi kujichukulia sheria mkononi ni kosa hao watakuwa bavicha tu.
Kabla ya kumuua wangempiga picha na kuisambaza mtandaoni,hii ingetusaidia kuwatambua wale marafiki zake ambao walikuwa wakila bata pamoja bar baada ya kufanikisha dili ili nao wakione cha Mtema kuni.Imeniuma sana kumuua bila kufanya hivyo,