Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
Jeshi la Policcm lipo kudhibiti mikutano na maandamano ya wapinzani na si kulinda albino!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda unakumbuka yule kiongozi wa Albino aliyeweka mtego wa nywele,finally akaambiwa na mkemia kuwa nywele sio za albino ni za mdoli.nadhani intelijensia ya serikali imeona ikifatilia mauaji ya ndugu zetu,itapoteza kura za CCMKama wamesingiziwa waende mahakamani.
Kamanda unakumbuka yule kiongozi wa Albino aliyeweka mtego wa nywele,finally akaambiwa na mkemia kuwa nywele sio za albino ni za mdoli.nadhani intelijensia ya serikali imeona ikifatilia mauaji ya ndugu zetu,itapoteza kura za CCM
lakini rais ndio mwenye majeshi,polisi,usalama na kila kituUnapokuwa madakani utapewa kila aina ya lawama na kila tatizo lianalotokea katika jamii uiongozayo unabebeshwa wewe,hakuna anaependezwa na mauaji ya binadamu wanzetu lakini tusivuke mipaka kihivyo jamani.
moja ya kazi ya executive ni kulinda haki za binadamu kwa hiyo kuuawa kwa maalbino ni kushindwa kwa serikali kwa hiyo raisi na timu yake haiwezi kukwepa lawama hizi.Unapokuwa madakani utapewa kila aina ya lawama na kila tatizo lianalotokea katika jamii uiongozayo unabebeshwa wewe,hakuna anaependezwa na mauaji ya binadamu wanzetu lakini tusivuke mipaka kihivyo jamani.
Siasa hizi hatareeeee
vichwa vingine vya habari hatari tupu!
mkuu ndo maana wengine tunaichukia serikali kupita kiasi100% sure,Mbona wauaji wa kamanda balo walipatikana fasta,wauaji wa msuya mbona polisi waliwakamata fasta? Wauaji wa mtalii huko arusha mbona waliwakamata fasta? Vick mtetema alishatoa ripoti kuwasaidia kwanini wasianzie hapo?
MWENYEKITI wa Chama
cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema),
Freeman, ameisema
Serikali ya Rais Jakaya
Kikwete imeshindwa
kutetea watu wenye
ulemavu wa ngozi
(albino) na vikongwe,
kwa kuwa inanufaika na
mauaji yao.
Amesema, Kikwete na
serikali yake imeshindwa
kuwalinda watu na mali
zao wakiwemo albino
ambao wanatekwa,
kupotezwa na kisha miili
yao kuokotwa ikiwa
imekatwa baadhi ya
viungo. Ni kwa sababu,
Kikwete na marafiki zake
wananufaika na mauaji
hayo. Habari kamili soma
----------- ONLINE.Source:Mwana.halisi forum
Hapa mwenyewe ulipo nisiasa sikitika ccm ndio waliotufikisha hapa namaumivu haya
mkuu ndo maana wengine tunaichukia serikali kupita kiasi