Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Jeshi la Policcm lipo kudhibiti mikutano na maandamano ya wapinzani na si kulinda albino!
 
Bonge ya mtego. Wakikaa kimya inathibitisha ukweli huo na wakifukuta hawana vielelezo vya kujinasua. Haiwezekani watu 76 wameuawa na hakuna wahusika waliochukuliwa hatua stahiki. Intelgensia ya inchi iko wapi? au ipo kwa ajili ya kuzuia harakati za upinzani tu?
 
Kama wamesingiziwa waende mahakamani.
Kamanda unakumbuka yule kiongozi wa Albino aliyeweka mtego wa nywele,finally akaambiwa na mkemia kuwa nywele sio za albino ni za mdoli.nadhani intelijensia ya serikali imeona ikifatilia mauaji ya ndugu zetu,itapoteza kura za CCM
 
Imagina kiongozi wa CHADEMA hata kitongoji tu akumbwe na kashfa ya albino.Hizo propaganda itakuwa balaa,utaambiwa katumwa viungo na Mbowe
 
Unapokuwa madakani utapewa kila aina ya lawama na kila tatizo lianalotokea katika jamii uiongozayo unabebeshwa wewe,hakuna anaependezwa na mauaji ya binadamu wanzetu lakini tusivuke mipaka kihivyo jamani.
 
Kamanda unakumbuka yule kiongozi wa Albino aliyeweka mtego wa nywele,finally akaambiwa na mkemia kuwa nywele sio za albino ni za mdoli.nadhani intelijensia ya serikali imeona ikifatilia mauaji ya ndugu zetu,itapoteza kura za CCM

Hebu fafanua hapo kamanda, habari mpya hii
 
Unapokuwa madakani utapewa kila aina ya lawama na kila tatizo lianalotokea katika jamii uiongozayo unabebeshwa wewe,hakuna anaependezwa na mauaji ya binadamu wanzetu lakini tusivuke mipaka kihivyo jamani.
lakini rais ndio mwenye majeshi,polisi,usalama na kila kitu
 
Nimesoma gazeti la Jamhuri kuna Jamaa kakiri nakawataja Viongozi wa CCM wanahusika na Mauaji ya Albino kanda ya Ziwa,

Ila Jamhuri hawajaandika hayo Majina,

CC jacktoni MANYEREre.
 
Last edited by a moderator:
Unapokuwa madakani utapewa kila aina ya lawama na kila tatizo lianalotokea katika jamii uiongozayo unabebeshwa wewe,hakuna anaependezwa na mauaji ya binadamu wanzetu lakini tusivuke mipaka kihivyo jamani.
moja ya kazi ya executive ni kulinda haki za binadamu kwa hiyo kuuawa kwa maalbino ni kushindwa kwa serikali kwa hiyo raisi na timu yake haiwezi kukwepa lawama hizi.
 
Huo kweli ni mtego, wakikaa kimya inamaana wsmeguswa, kama wameonewa waende mahakaman.
 
Tatizo hata baada ya maalbino kuuwawa vimeanzishwa vituo vya kuwalea na kuwahifadhi ambavyo si vya serikali kitu cha kushangaza serikali hawana habari navyo kwa kutoa huduma ya aina yoyote! kuna kituo kipo shinyanga kilikatiwa mpaka huduma ya maji kwa kudaiwa deni la shilingi laki 4! kwanini kituo kama hiki kisisamehewe kulipia huduma hiyo?
Vituo hivi hakuna hata mlinzi/askari wa serikali kulinda wahanga hao. kwenye kubomoa nyumba za wanyonge Defenda 5 mpaka 7 za askari.Jee mkuu wa nchi hasiki habari hizi?
 
100% sure,nikimnukuu sungusia alisema serikali kwanini inakua nzito kuwakamata wauaji wa albino? Mbona wauaji wa kamanda balo walipatikana fasta,wauaji wa msuya mbona polisi waliwakamata fasta? Wauaji wa mtalii huko arusha mbona waliwakamata fasta? Vick mtetema alishatoa ripoti kuwasaidia kwanini wasianzie hapo?
 
vichwa vingine vya habari hatari tupu!

Sijakifurahia pia. . . . ila yaweza kuwa ni kuonesha mchoko wa mioyo ya watu, kuona hakuna la kupoteza tena, kukata tamaa au kilio cha mwisho cha matumaini yanayopotea!!!

Kitabadilishwa kipe muda!!
 
100% sure,Mbona wauaji wa kamanda balo walipatikana fasta,wauaji wa msuya mbona polisi waliwakamata fasta? Wauaji wa mtalii huko arusha mbona waliwakamata fasta? Vick mtetema alishatoa ripoti kuwasaidia kwanini wasianzie hapo?
mkuu ndo maana wengine tunaichukia serikali kupita kiasi
 
MWENYEKITI wa Chama
cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema),
Freeman, ameisema
Serikali ya Rais Jakaya
Kikwete imeshindwa
kutetea watu wenye
ulemavu wa ngozi
(albino) na vikongwe,
kwa kuwa inanufaika na
mauaji yao.
Amesema, Kikwete na
serikali yake imeshindwa
kuwalinda watu na mali
zao wakiwemo albino
ambao wanatekwa,
kupotezwa na kisha miili
yao kuokotwa ikiwa
imekatwa baadhi ya
viungo. Ni kwa sababu,
Kikwete na marafiki zake
wananufaika na mauaji
hayo. Habari kamili soma
----------- ONLINE.Source:Mwana.halisi forum

Moderator Mhariri naomba muiangalie hii habari upya kwanza katika hili -----------forum haiwezi kuwa source ya habari nilitegemea mtoa mada atajikita kueleza maneno hayo Mbowe amesema wapi na amekaririwa na chombo kipi cha habari?Na ameongea akiwa wapi?

Kwanza kwenye hii habari hakuna sehemu hata moja ambayo kuna nukuu ya Mbowe akisema Jk ana husika na mauaji ya Albino!Au mtoa mada atwambie kuwa habari hiii hiyo forum imeitoa wapi?

Ukiangalia kichwa cha habari ni tofauti na yaliyo andikwa ndani!
 
Last edited by a moderator:
Hapa mwenyewe ulipo nisiasa sikitika ccm ndio waliotufikisha hapa namaumivu haya

Wewe unamuua Albino kwa kuongopewa na mganga kwa ajili ya tamaa zako za utajili wa haraka haraka harafu unamlaumu ki kwete wewe unaona hiyo imekaa sawa?
 
Back
Top Bottom