Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh
Nasikia harufu ya UKABILA!
Mhhh
Nasikia harufu ya UKABILA!
Hakuna ukabila mkuu,watu wa huku waalewa na ndio maana wana maendeleo.
Hata PWANI mbona albino wapo na hawauwawi?Sema unajishaua tu na UKABILA!
Tukio lolote la kishirikina linahusisha nguvu za giza. Tuanzie hapa.Habarizenu,
Nimefikiri sana swala hili,ni kwamba halina majibu au wanaogopwa waganga ,au wanao watuma kufanya hayo mauaji mana,bado sijasikia bado kama wahusika wakuu wakiwa wameshikwa,zaidi ya kushikwa kwa wale wanaotumwa kuuwa,napenda nchi yangu ingeweka mkazo hili jambo,haija pita wiki tanga Mh.Raisi kufanya kikao na walengwa,lakin tena Sumbawanga mtoto amekatwa kiganja cha mkono,hii ni uchungu na uzuni kwa wenye ulemavu wa ngozi kuishi maisha ya sinto fahamu katika nchi yao wao wenyewe.
mbona alishalizungumzia hili katika hotuba yake ya mwezi uliopita au ulitaka nini specificaly mkuu. labda atoe amri watuhumiwa kunyongwa hadharani. labda utafurahi.