Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

Hili lina hasira kweli sina shaka walililawiti kule maombilezoni maana wale wachungaji hatari sana kwa kutangaza neno la bwana kwa vitendo. Think Twice

SAHIBA.

Endelea tu kutukana, maana ndivyo inavyowapasa wafuasi wa Mwamedi.
 
Ah unajifanya mpole sio. think twice

SAHIBA.


Wewe kama una hobby ya kutukana endelea tu, maana hiyo hainiumizi kichwa, tukana matusi yooote unayoyajua.

BTW, Haya maneno 2, 'Think twice', ndo umejifunza leo nini ? 😀 😀 😀
 
Kaeni chonjo!...

...karibuni wataanza kusakwa wenye vipara, baada ya viungo vya Albino kutokuwa deal tena!


Ili Kuponya ugonjwa wowote unatakiwa ujue chanzo chake ili upambane nacho, kwa mfano yale maradhi ya JIPU ambalo huwa lina mzizi, ili kuponyesha hili jipu inabidi ukate/uuwe mpaka mzizi,venginevyo utabaki kutumbua usaha lakini siku 2 usaha unarudi tena palepale.
Dhumuni langu ni kusema tutapiga makelele mpaka tutachoka lakini kama HATUJAAMUA kupambana na mzizi wa hili tatizo hatutofaulu, MZIZI wa hili tatizo ni imani ya Ushirikina katika jamii yetu, cha kufanya ni kuiharamisha hii biashara ya Uganga wa kienyeji na mtu yoyote atayepatikana na kosa la kushiriki ashitakiwe na apewe adhabu kali bila kubagua ni waziri, mfanya biashara,shehe,mchungaji ama mlalahoi. Itachukua muda lakini tanaweza kuitokomeza hii biashara ya uganga wa kienyeji ambayo inazidi kushamiri huku pande za kwetu, venginevyo tukizidi kuchelewa tutakuwa kama Wanaijeria, huko kwao matukio haya ni mengi, hawa wajinga wataanza na Maalbino waje kwa watoto wachanga,wajawazito nk.
 
TATIZO TUNALOLISAHAU HAPA NI KWAMBA HII NI VITA AMBAYO ADUI HAJULIKANI! HUWEZI KWENDA MTAANI UKAMKAMATA MTU, KWAMBA ANA NIA YA KUMUUA ALBINO. Kwa sababu hujua dhamira ya mtu, unless na until mtu aiweke wazi kwa matendo hiyo dhamira yake.

How do we prevent this crime? Its not easy as we tend to think. Unaweza kupambana na jambazi kwa sababu njia ziko nyingi za kumgundua nani jambazi (eg kwa mali aliyonayo, nyumba anayoishi..nk..ilmradi unaweza ukafanya money trail ukagundua huyu ni mshukiwa wa ujambazi au la..). Sasa swala la albino..si rahisi....hii ni vita ambayo inahitaji wananchi na serikali wawe bega kwa bega. Inahitaji ushirikiano wa hali ya juu sana kati ya raia na serikali yao.

Now, swala linakuja..ni kwa nini wananchi (hata kama wanawajua wauaji wanakaa kimya?). Kabla ya kulijibu hili swali..jiulize ni kwa nini..watu wanafanya haya mauaji? Apparently ni kutafuta utajiri. assumption ni kwamba watu ni masikini na wanaona hiyo ndo njia rahisi ya kupata utajiri? Tunaweza tukaweka theory za utu..na ubinadamu lakini ukweli ni kwamba mtu mwenye njaa hana utu. Hawa wanaofanya haya mauaji..wameshakata tamaa na maisha na wanaona the only way ya kuishi ni kuuza hivi viungo vya binadamu wenzao wapate ahueni ya maisha (ofcourse this is wrong, but its a belief). Na wanaoua ni wale masikini mostly..ingawa wanawauzia wale wenye uelewa wao....swala ni kivipi tutamjua na kumconvince huyu anayeua kwamba..hawezi kutajirika kwa kumuua mwenzake? Tuweke juhudi za kumpa maisha bora na yeye-simple!

Ukiangalia kwa umakini, hili swala linaonyesha ni jinsi gani, wananchi wameamua kutumia njia halali na zisizo halali kujipatia kipato...na inaonyesha uozo kwenye jamii yetu. Kama mtu anasoma gazeti la mwanahalisi..anaona Liyumba ameiba billion 220..na leo "katoroka"..Unafikiri yeye anapata wazo gani? anaona kabisa nchi hii ni ya viongozi wenye nacho..hakuna anayemjali mwenzake..so he does what he thinks will help him to see the sun tomorrow.

Ndo hapo unakuta sasa akina Masanja na Mkandara et al..tunakuja ballistic na huruma za ubinadamu kwamba tuwasake hawa wauaji..lakini ukweli ni kwamba..tabia kama hizi haziwezi kuisha kwenye jamii isiyoheshimu utawala wa sheria na thamani ya maisha ya wote (wenye nacho na wanyonge). Hata leo hili likiisha..yataibuka mengine maovu..kwa sababu watu wamekataa tamaa! na kama jamii hatuko tayari ku-acknowldge...tulipokosea. especially kuwasaidia wenzetu ambao wanaogelea kwenye lindi kubwa sana la umasikini.

Kipi kifanyike? Serikali ianze kuwajibika ilivyo kwa wananchi wake. Watu waone kweli serikali iko serious na maisha ya watanzania WOTE. Mpaka huyu anayeua..aone kwamba kuna alternative ya kuwa na unafuu wa maisha kuliko kuuza vioungo vya binadamu wengine. Hapa tunasema kwamba tukomeshe haya mauaji..lakini hapo hapo..viongozi wetu..wana maisha yao..na wananchi kapuku wana maisha yao..(na I tend to believe...haya mauaji..wengi wanayapigia kelele kwa sababu yameshafumuka internationally..kwa hiyo inakuwa aibu ya kitaifa..kwa wale wenye access na mataifa mengine ya nje..otherwise...hawa ndugu zetu wangeendelea kufa bila msaada wowote).

Hatuhitaji kuanzisha jeshi lingine..hapana..polisi tulionao wanatosha..tunahitaji kuliboresha na kuhakikisha kwamba wananchi wanaona umuhimu wa kushirikiana na serikali yao..kwa sasa wengi hawaoni umuhimu huo..kwa sababu hawaiamini. Hatuwezi kukomesha mauaji ya Albino bila ushirikiano wa wananchi na serikali yao. After all Ditopile (RIP) aliua..lakini sheria iliyomhukumu ni ile ya "viongozi" siyo ya Joe the Plumber. Mauaji ya Albino ni janga la kitaifa..lakini hii inatukumbusha kwamba tusipoziba ufa tutajenga ukuta! Na kesho tusianze kulaumiana..kwa sababu tumekuwa na nafasi ya kujenga jamii bora kwa kila raia lakini kwa makusudi tumekataa. Lets face it now. Its just the beggining.

Masanja,
 
Huu mtandao wa wauaji albino unaweza kabisa kuvunjwa kama tukiamua kuwa serious kweli kweli. Mbona ule mtandao wa majambazi uliosumbua sana hapa mjini uliwezekana kuvunjwa? Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikiamua kushika bango kweli kweli huu mtandao wa wauaji unawezekana kabisa kuvunjwa. We are simply not serious.....
 
...Mauaji ni mauaji tu,

...pamoja na kuwepo na kipengele cha kuua bila kukusudia na kuua kwa makusudi, yote hayo yanaangukia kwenye kosa la kutoa uhai wa Binaadamu mwingine, iwe aliyeuwawa ni Albino, mke, kichanga, kibaka na katika hayo, na sheria ya Tanzania inasemaje (kuhusu "matokeo" ya Uchawi na ushirikina);

The 1928 law had made clarifications on only two aspects, namely, ``witchcraft`` and ``instruments of witchcraft``.

The revised edition of the witchcraft ordinance (Cap 8-Supp.66-70) of 1965 added definitions on ``courts`` (which included a local court as defined in the Magistrates Courts Act, 1963); ``police force`` (i.e. the Tanzania Police Force; and \"public officer`` (meaning any employee of Government or of a local authority).

It also defined witchcraft as to, \"include sorcery, enchantment, bewitching, the use of instruments of witchcraft, the purported exercise of any occult power and the purported possession of any occult knowledge but provided that``.

On the other hand, the penalty continued to be imprisonment for a period not exceeding seven years or a fine not exceeding 4,000 shillings or both.

tutafika tu...!
 
Mzee Mjj aligusia umuhimu wa kulikabili tatizo toka chanzo chake. Huo ndo utatuzi wa kudumu katika mengi. Je? Mauaji ya maalbino tunakijua chanzo. Kwa mujibu wa yanayotajwa yawezekana twafahamu kidogo. "Imani za kishirikina". Wengine Viungo vyao vinasaidia kwa wautafutao utajiri kimiugiza, ndiyo maana viungo vyao vina bei kubwa. Kumbe albino siyo nuksi katika jamii iwapo viungo vyao vyaweza kuvuta utajiri. Yote haya na mengine yatokana na kuzorota/kuporomoka kwa mifumo halali ya mtu kufanikiwa kwa kazi halali. Kama ni kilimo zamani mtu alijua kulima pamba anahitaji ardhi, pembejeo, na ujuzi wa misimu husuna upatikanaji wa mvua na wakati muafaka kwa shughuli husika za kilimo. Alihitaji kujua sifa za mazao bora yatayostahili bei kubwa na jinsi ya kuhakikisha mavuno yake yatakuwa ya ubora wa juu tangu u leaji shambani, uvunaji mpa uhifadhi kabla ya kuuza. Mfumo mzuri ulolinda hayo ulijumuisha upatikanaji wa soko lililomtendea mkulima kwa haki kiasi kilichoridhisha. Mfumo pia ulisaidia upatikanaji wa elimu wakulima wakafahamu mazao utayapata ukizingatia misingi ya kisayansi ya kilimo na siyo kwa kudura tu. Imani za kishirikina mfano 'eti fulani ukilima jirani naye mavuno yako yatahamia kwake, taratibu zilikosa nguvu.

Kumbe elimu ndo msingi wa watu kutambua taratibu halisi za kisayansi za kuzalisha mali na utajiri. Jamii ilokosa elimu ni rahisi sana kuaminishwa kipotovu ikashangaza kama jamii zetu sasa. Ndo maana mwanzoni wa utaifa wetu tulitangaziwa "UJINGA NA MARADHI" ni miongoni mwa maadui wetu wakuu. Tumempuuzia adui UJINGA na haya ni matokeo. Ilikuwa rahisi kuizorotesha elimu pale viongozi wetu walipokubali utendaji wao utawaliwe na kuelekezwa na ubinafsi wao. Alofanya kazi halali asipate ujira/malipo halali kwa jasho lake na hivyo kuzikosesha heshima kazi halali. Jamii ikaanza kuwasifu wezi na wafujaji wa mali za uma.
Kumbe kufa kwa maadili ya uongozi ndiko kumeruhusu mabaya mengi yanofumuka leo. Tulikubali kuwa na sheria zisizosimamiwa na hivyo kuruhusu maovu kulelewa na kukua mpaka kuwa mila. Ukiibiwa ukapeleka taarifa polisi utalazimika kugharimia safari zote za askari iwapo wataka mwizi wako atafutwe na kushtakiwa. Sasa unajiuliza hapa siuzi ng'ombe kumpata mwizi wa kuku? Jibu likiwa ndiyo unamuacha mwizi aende zake. Haikupaswa kuwa hivyo na haifai kubaki hivyo.
Tukirudisha uadilifu katika uongozi, tutakarabati mifumo yetu ya mtu kufanikiwa na kuheshimika kwa kazi halali. Elimu itarudi kuwa ufunguo wa maisha na kazi halali iheshimika kama msingi wa maendeleo ya mtu na taifa. Tuanzie wapi?? Yalisemwa kale na bado ni kweli. Maendeleo yataka vitu vine. ARDHI, WATU, SIASA SAFI na UONGOZI BORA. Watanzania tumekosa uongozi bora.
 
Disgusting, stupid, primitive, barbaric, shameful, na bado naona hayatoshi! On top anjiita mchungaji!
 

The Bible is very clear in re of such things,

The Bible says, Watch out for false prophets. They come to you in sheep's clothing, but inwardly they are ferocious wolves. By their fruit you will recognize them. Do people pick grapes from thorn bushes, or figs from thistles? Likewise every good tree bears good fruit, but a bad tree bears bad fruit. A good tree cannot bear bad fruit, and a bad tree cannot bear good fruit. Every tree that does not bear good fruit is cut down and thrown into the fire. Thus, by their fruit you will recognize them.

Wherefore, if this person was and/or is claimed to be a Pastor, then he is a false and wicked pastor, ad infinitum.

It is shame and sad.

Max Shimba
A Bondservant of Jesus Christ, the Coming King of kings and Lord of lords.

Sasa ona hapa :-
Mt 7:16-17 RSV

16 You will know them by their fruits. Are grapes gathered from thorns, or figs from thistles?

17 So, every sound tree bears good fruit, but the bad tree bears evil fruit.

Tukiemdelea :=

They fool themselves being gods or like god but indeed they are comparable to hideous brutes in the wilderness.

Ugh, Christian foul mouths, ugh! Ugh, barbarians, ugh!

Because they mix up god and sod,
They're deeming Jesus to be a god...!

"I would eat, and I would be eaten." ACTS OF JOHN, From "The Apocryphal New Testament", M.R

hebu nendeni mkasome kule kwenye chapter ya 16 ,muone kuwa mnaemfuata sie yesu origino ni jamaa tu stuntman mmoja

Didache. The Teaching of the Twelve Apostles (translation Roberts-Donaldson).

Mtaona kuwa mnaemfuata ni yule aliekabidhiwa mikoba na shetani kama nilivyowaandikia uko mwanzo pale shetani alipokabidhi mikoba.
 
Disgusting, stupid, primitive, barbaric, shameful, na bado naona hayatoshi! On top anjiita mchungaji!
Sio kosa lake bali ni dini nzima ya kikiristu hii iliyopo sasa ambayo wayo ndio wanaiendeleza ni mauaji matupu na wanaendelea tu kuuwa kwa maelfu kwa visingizio hivi na vile Rwanda Burundi wameua watu kibao ,Iraqi,Afghanistan Vietnam na kwengineko muendelezo wa sect yao ni barbaric .

One can also put it that way: According to the standards of original Christianity, Christian sect is abominable blasphemy already for about 19 centuries. Who wonders when taking into account that the “son of god” is the world-deceiver?

One cannot recall it enough; here neither it is about an exposition of a “theologian” nor about a “gospel” but about an early Church Order, i.e. credo, of Christian sect, apparently even the very first one. Christian sect (“church”) feigns to be saint and infallible as institution. Putting it mildly: declaring a one existing Church’s Order to be apocryphal would debunk those claims of Christian sect (to be saint and inerrant as institution) as wrong, if not as mendacity, insidiousness and perfidy. That is why Christian sect refrained from dealing with this very early Church’s Order (Didache) as it did with others writings unveiling its lies, deceits and perfidy.

Ndio ukawasikia wengine wakisema biblia ni koraptedi ,
“The Didache or Teaching of the Apostles” is no interesting scripture of a Christian “theologian”, no Christian “authentic” or “apocryphal (non-authentic) gospel” but a very early Christian Church’s Order, presumably the first ever one, however, the first one we still know today. That is why later Christians could not condemn it be “non-authentic” like other early Christian scriptures leaking too many truths about Christian crimes of deceit, especially, about the truth Christian sect’s instigator Jesus (the death penalty convict). This early Church Order, for example, debunks the “son of god” to be the world deceiver contriving and fabricating “iniquitous things”, which the world never heard before since the beginning of it.
 
The Didache turns out that later and today Christianity serves lust for power (Christians' cant: potestas ligandi and et solvendi) of those keeping the powers in these sects, i.e., Christian Mafiosi suffering with delusion of grandeur want to play "god" on Earth and stop at nothing for their profit. Nobody lies and deceives just for fun but for the advantage and profit of his. Christian bigwigs camouflage their selfishness and lust for power as the reverse: "humbleness" and "modesty", i.e. always by perfidy, in order to make their victims (Christians' cant: "sheep") inattentive and themselves unsuspicious regarding that what they intend. Christians want to bag that by lies, deceits and, in particular, by abominable crimes of blasphemy, i.e. by foul play, that what they do not get by fair play. No ambushing is possible if the victims (Christians' cant: "sheep") know what is going on… By fabricating the "son of god" (as peer to "god") or allowing somebody to pose as such, the Christians want to get rid off the ignominy, disgrace and shame of their foul play by fobbing them off as "god's will". Viz, they fake their topmost desperado and terrorist as "god's son" or allow the death penalty convict to live his delusion of grandeur to the full. That is why Jesus (the death penalty convict) is faked peer to "god" ("son of god") in Christian sect so that the foul play -- being necessarily in the wake of abominable lies and deceits -- shall become unassailable. Hereby, the Christians perpetrate the (almost) perfect crime.

Na ndivyo utawala wa CCM unavyoendeshwa kimabavu kimauaji tu scandal nyingi za kufa kwa viongozi zinasemwa kuwa ni utekelezaji wa ndani ya CCM maana hata mitaani watu wanagusia kuna Balali kuna Dr Omar Ali kuna Kolimba ,kuna Sokoine kuna kuna wengi tu ukiongezea mauaji ya Pemba na Unguja na utaona namna serikali inavyojihusisha na kanisa Katoliki na wanavyopinga OIC wakati OIC ni tofauti kabisa na waVatican ,huku kwenye Vatican kuna sect ya ukiristo ambayo ni mafya style ,kama nyinyi WaTz hamfahamu basi hizo ndio siri za kanisa ,usishangae mauaji ya albino yanatoka na Kanisa serial killer kiasi cha kuterarize wananchi.

Since the Christian desperadoes' (Christians' cant: "innocent" sinners') takeover of power by Christian and criminal Ancient Roman emperor Constantine in the beginning of the fourth century, in Christianly enslaved countries Christian crimes, atrocities and barbarities are hardly to realize as those ones perpetrated by Christian terrorists. In Christianly enslaved countries, Christian terrorists easily can pretend to be a "good uncle" or "aunt" or "shepherd". In those countries, Christian criminals, felons and terrorists can camouflage themselves up to point of being unrecognizable when perpetrating their crimes, felons, outrages, atrocities and other abominations.

Instead of Christian felons or terrorists there do appear some journalists, politicians and/or Christianly brainwashed juridical authorities that mostly are not to reveal as that what they in fact are and as that what they are used for: Christianly trained and programmed robots, Christianly programmed biological robots or other Christianly programmed criminal biological automatons.

The Christian are never interested in truths but that their lies and deceit are reputed to be the truths. Before a Christian became a Christian, he made up his mind: Always and constantly refusing to admit what is true or to lie at any, really any price ndivyo tulivyoona kwenye muafaka.That is true (Christian) barbarity! However, they never became and they never will become happy but that does not matter to them because they do not want to be happy. What they want is to dominate their conspecifics (ruthless aspiration for power above all conspecifics) – they just want to be slaveholders at any, really at any, price – and nothing else matters because they are not capable of enjoying life. Ndivyo tuonavyo kwenye mambo ya Mafisadi na Muungano.
 
Last edited:
Hivi viungo vya ma-Albino vinawasaidiaje watu? Maana hata ukiangalia maisha wanayoishi ni ya kifukara kweli kweli. Wanafaidikaje hawa watu? Sisi Miafrika tuna imani za ajabu sana aisee

..kuna wakati fulani kuliibuka habari ya kutafuta fedha za zamani (I mean za enzi ya mkoloni) watu wakacreate demand kama zinauzwa kwa mamilioni, watu wakatumia resources zao kutafuta, na baadaye wakagundua hawawezi kuuza kokote wakiwa tayari wamefilisika. Ikaibuka tena ya kutafutwa kwa watu wenye vipara na wakawa wanauawa, nayo ikaisha.Inawezekana ndio mchezo unaochezwa katika hii habari ya albino, tatizo ni pale inapohusisha maisha ya binadamu wenzetu. Sijaamini bado kuna utajiri kupitia viungo vya binadamu mwingine let alone utajiri wa kutengenezwa na waganga ambao ni mafukara. Umasikini wetu unatupeleka pabaya sana, watu wanaota ndoto za utajiri, na wanaamua kwenda kuua,Mungu atusaidie sana😕
 
(humour)

Enzi za kutafutwa wenye vipara, mkuu Nyani Ngabu ingetakiwa uufiche huo uwalaza hapo🙂
 
Kama vile sala yenu inavyo wakandamiza... Fii Nnar...in the name of father the sun and in the hole of hell u goes...

Ha ha ha..

Naona umeishiwa ndg plagiarist. Hata hivyo nakupa shavu uendelee ku-accumulate hukumu, maana utalipwa kikombe cha hukumu kilichojaa na marupurupu juu yake .
 
The Didache turns out that later and today Christianity serves lust for power (Christians’ cant: potestas ligandi and et solvendi) of those keeping the powers in these sects, i.e., Christian Mafiosi suffering with delusion of grandeur want to play “god” on Earth and stop at nothing for their profit. Nobody lies and deceives just for fun but for the advantage and profit of his. Christian bigwigs camouflage their selfishness and lust for power as the reverse: “humbleness” and “modesty”, i.e. always by perfidy, in order to make their victims (Christians’ cant: “sheep”) inattentive and themselves unsuspicious regarding that what they intend. Christians want to bag that by lies, deceits and, in particular, by abominable crimes of blasphemy, i.e. by foul play, that what they do not get by fair play. No ambushing is possible if the victims (Christians’ cant: “sheep”) know what is going on… By fabricating the “son of god” (as peer to “god”) or allowing somebody to pose as such, the Christians want to get rid off the ignominy, disgrace and shame of their foul play by fobbing them off as “god’s will”. Viz, they fake their topmost desperado and terrorist as “god’s son” or allow the death penalty convict to live his delusion of grandeur to the full. That is why Jesus (the death penalty convict) is faked peer to “god” (“son of god”) in Christian sect so that the foul play -- being necessarily in the wake of abominable lies and deceits -- shall become unassailable. Hereby, the Christians perpetrate the (almost) perfect crime.

Na ndivyo utawala wa CCM unavyoendeshwa kimabavu kimauaji tu scandal nyingi za kufa kwa viongozi zinasemwa kuwa ni utekelezaji wa ndani ya CCM maana hata mitaani watu wanagusia kuna Balali kuna Dr Omar Ali kuna Kolimba ,kuna Sokoine kuna kuna wengi tu ukiongezea mauaji ya Pemba na Unguja na utaona namna serikali inavyojihusisha na kanisa Katoliki na wanavyopinga OIC wakati OIC ni tofauti kabisa na waVatican ,huku kwenye Vatican kuna sect ya ukiristo ambayo ni mafya style ,kama nyinyi WaTz hamfahamu basi hizo ndio siri za kanisa ,usishangae mauaji ya albino yanatoka na Kanisa serial killer kiasi cha kuterarize wananchi.

Since the Christian desperadoes' (Christians' cant: "innocent" sinners') takeover of power by Christian and criminal Ancient Roman emperor Constantine in the beginning of the fourth century, in Christianly enslaved countries Christian crimes, atrocities and barbarities are hardly to realize as those ones perpetrated by Christian terrorists. In Christianly enslaved countries, Christian terrorists easily can pretend to be a “good uncle” or “aunt” or "shepherd". In those countries, Christian criminals, felons and terrorists can camouflage themselves up to point of being unrecognizable when perpetrating their crimes, felons, outrages, atrocities and other abominations.

Instead of Christian felons or terrorists there do appear some journalists, politicians and/or Christianly brainwashed juridical authorities that mostly are not to reveal as that what they in fact are and as that what they are used for: Christianly trained and programmed robots, Christianly programmed biological robots or other Christianly programmed criminal biological automatons.

The Christian are never interested in truths but that their lies and deceit are reputed to be the truths. Before a Christian became a Christian, he made up his mind: Always and constantly refusing to admit what is true or to lie at any, really any price ndivyo tulivyoona kwenye muafaka.That is true (Christian) barbarity! However, they never became and they never will become happy but that does not matter to them because they do not want to be happy. What they want is to dominate their conspecifics (ruthless aspiration for power above all conspecifics) – they just want to be slaveholders at any, really at any, price – and nothing else matters because they are not capable of enjoying life. Ndivyo tuonavyo kwenye mambo ya Mafisadi na Muungano.

Muone daktari haraka sana ndg..
 
Back
Top Bottom