chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane