Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Weka na yule wa Mtama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na yule wa Mtama
Kuacha alama pia ni proffessionalism. Wanaweza kuacha alama maksudi ili kutuma ujumbe flani.Mnatafuta pa kutokea lakini hampaoni😀
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Sio lazima iwe dola, issue ya Chacha Wangwe unaikumbuka?Yale yale siwezi kushangaa.
Hata mama alisema hayo hayo kwenye issue ya Lissu. Kwamba wale hawakosi shabaha.
Vitendo vyote kummwagia tindikali ni kuficha na ama kuhadaa wananchi ionekane kwamba ni wahuni tu wamefanya vitendo hivyo.
Dola iko kazini.
Hao unaowasema wewe wako Somalia huko wanateka meli kwa maslahi fulani hawawezi kutumia hayo masilaha na nguo kumteka raia tu wa kawaida ili wapate nini?Bibi mbona umekuja kiwepesi sana asubuhi hii ?!! [emoji1787]
Hujawahi kusikia watu wana sare za majeshi ya dola na kuwa na silaha na kupatikana hivyo ?!!
Aagh Bibi wee wa Ashdod [emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app