Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Mnatafuta pa kutokea lakini hampaoni😀
Hivi huwa hakuna wataalamu wakawashusha mshipa mpaka chini wanaume wote wahusika na huyo mama yao yale matiti yakashuka mpaka magotini ili kuvaa sidilia mpaka avae mifuko ya sulphate?
Nani anaujua uchawi huo aniuzie? Nina hasira sana
 
Hayo ni maoni yako.
Lakini jeshi la polisi lina majibu sahihi.
 
Naiomba familia ya Marehemu Mzee Kibao wamsomee kurjuan Peter Msigwa kwani ndiye aliyemchongea Mzee Kibao
 

Attachments

  • 1725891704170.jpeg
    44.3 KB · Views: 2
Sakata hilo ndio limeiumbua serikali hadi wameamua kujitokeza na kujifanya wanapinga. Uliona wapi watu binafsi wanapata confidence ya kutembea na bunduki mchana kweupe? Nani huyo anayeweza kurisk maisha yake wakati mzee yule hakuwa na burungutu la pesa.

Wenye akili walishajua ni wakina nani wanaohusika hata kama hawatatajwa.
 
Tutajie hao professional killers unaoshirikiana nao kumaliza watu kimya kimya.
 
Wahuni wamafadhiliwa na nani si watawala au
Sirikali nayo si wahuni tu
 
..mambo yanayohusu uhai wa watu sio sahihi kufanya mizaha.

..kuna familia imepoteza mpendwa wao, na haijalishi waliomuu ni weledi, au la.
 
Inawezekana pia wauaji hata kama ni wa serikali kuacha alama ili kutengeneza sintofahamu ya kutowahusisha kwasababu tu unahisi kama ingekuwa ni wao wasingeacha alama.

Kama mashuhuda wanasema basi lilisimamishwa na askari na wakamtoa mhusika unadhani ni makosa kuihusisha serikali kwa kilichofanyika.
 
 
Hao hao bhna ,uprofessional wautoe wap huku wamekosa wered ,wanapiga tu puu puu imeisha
 
Msimung'unye maneno semeni tu chawa
 
Yale yale siwezi kushangaa.

Hata mama alisema hayo hayo kwenye issue ya Lissu. Kwamba wale hawakosi shabaha.

Vitendo vyote kummwagia tindikali ni kuficha na ama kuhadaa wananchi ionekane kwamba ni wahuni tu wamefanya vitendo hivyo.

Dola iko kazini.
 

Professional assassin haui Watu wasio na HATIA
Moja ya Sifa ya professional assassin ni Kuua anayestahili kuuawa.

Kuua NI Kazi kama Kazi zingine. Kuua kûna Morals and ethics Zake.
Mtu aliyesomea mambo ya Kuua akahitimu na akawa mwadilifu hawezi Kuua Mtu àmbaye hastahili kuuawa.

Kwèñye Kazi ya Kuua wàpo wasio na maadili waliovamia Kazi za Watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…