Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Uprofeshno utokee wapi kazi zenyewe wanapeana mtoto wa muomba na shangazi, wengine vilaza unategemea nini.
Kuna vyombo vyetu vinatumia nguvu kuliko akili..
Tizama hata wale wa mavazi ya kaki, ni nguvu kulukundu tu, hakuna uchunguzi wa maana, wao wanajua kutesa tu.
 
Unyama unaoendelea sasa ni zaidi ya ule uliofanywa na Idd Amin.
Mungu atunusuru waja wake.
 

Professional assassiners hawajui Watu kwa interest za machawa. .
Professional assassiners hawafanyi kazi za kuwalazimisha watu wajiunge na CCM.

Mauaji mengi yanafanywa UVCCM wanaojifanya ni TISS.
Mara nyingi hata sio polisi .
Machawa wasaka vyeo na madaraka ndani ya serikali za mafisadi ndio wanafadhili machawa kufanya mauaji ya kihuni na hata ya halaiki.
Haya ni mauaji yanayotokana na hisia na ubinafsi wa Watu tu. Hayana interest yoyote kwa taifa zaidi ya kulinda maslahi hasa pesa zilizomwagwa na waarabu kuuza nchi. Watamwambia nini Mwarabu endapo CCM itashindwa uchaguzi .
 
Sio lazima iwe dola, issue ya Chacha Wangwe unaikumbuka?
 
Siku inzi akiacha upuuzi anaweza kutengeza asali. Jeshi la polisi libadilishiwe majukumu,wapewe majembe walime mapori badala ya bunduki wanazotumia kuulia raia wema!
 
Bibi mbona umekuja kiwepesi sana asubuhi hii ?!! [emoji1787]

Hujawahi kusikia watu wana sare za majeshi ya dola na kuwa na silaha na kupatikana hivyo ?!!

Aagh Bibi wee wa Ashdod [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hao unaowasema wewe wako Somalia huko wanateka meli kwa maslahi fulani hawawezi kutumia hayo masilaha na nguo kumteka raia tu wa kawaida ili wapate nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…