Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Idadi / population ya warwanda
Wahutu 85 %
Watutsi 14 %
Watwa 1%.

Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi kwa kuanza kuwaua watutsi, Waasi wa kitutsi waliingia vItani na hatimae wakashinda.

Baada ya mapinduzi mpaka sasa ni kama wahutu wametengwa licha ya wao kuwa wengi, Vyeo vingi vya Serikalini, Jeshini, Taasisi, n.k. wanajazana watutsi.

Apartheid-Rda13.jpg

Apartheid-Rda9.jpg

Apartheid-Rda2.jpg

Apartheid-Rda3.jpg

Apartheid-Rda4.jpg

Apartheid-Rda5.jpg

Apartheid-Rda6.jpg

Apartheid-Rda7.jpg

Apartheid-Rda8.jpg

Apartheid-Rda11.jpg
 
Mambo haya ukiyafuatulia utaumia kichwa kwa kweli ,hiyo ndio dunia tuishi ...Kitu nafurahi sana kuishi Tanzania makabila kibao wengi wanaozaliwa mjini hawana time na ukabila washazoea kuishi na kila mtu , fresh tu...

Ukabila ni bomu kubwa sana.
 
Tanzania, Botswana, Ghana, Zambia, Malawi, n.k. ni nchi chache saana ambazo ukabila haupewi uzito, tunaishi kwa undugu
 
Kwibuka 30

Sasa Hivi Wanafanya Kumbukizi Ya Miaka 30 Baada Ya Mauaji Yaliyowauwa Watu Laki Saba
Africa Siasa Zetu Ni Za Mkono Wa Chuma Muda Wote, Unaweza Usione Bayana Ila Ndiyo Ukweli
 
Idadi / Population ya Rwanda, imejengwa zaidi na wahutu na watutsi, baina yao (ukiachana Wa Twa ambao ni wachache sana huishi maporini kama wahadzabe) wahutu ni 90% na watutsi ni 10%...
Una uhakika na unacho kiongea? Una statistics?

Hivi unatofautishaje makabila ya Rwanda.

Unajua jinalsi system ya uongozi wa Rwanda ilivyo.

Mambo ya ukabila yameisha yaliletwa na Baba zenu lakini Kagame ameyamaliza.

Utamtofautishaje mhutu na mtutsi wakati hata kwenye ID hakuna kabila imeandikwa..
 
Una uhakika na unacho kiongea? Una statistics?
Hivi unatofautishaje makabila ya Rwanda..
Unajua jinalsi system ya uongozi wa Rwanda ilivyo.
Mambo ya ukabila yameisha yaliletwa na Baba zenu lakini Kagame ameyamaliza..
Utamtofautishaje mhutu na mtutsi wakati hata kwenye ID hakuna kabila imeandikwa..
vitambulisho vinweza visioneshe kabila lakini majina yanatosha kujua, Kwa Rwnda hata urefu wa mtu huchangia kujua kabila lake, Watutsi wengi ni warefu.

Hivi ni vyeo vya juu vya jeshi la Rwanda, majenderali wote ni watutsi

Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi polisi, usalama wa taifa, magereza, jeshi la Rwanda, n.k. ni watutsi
 
Idadi / Population ya Rwanda, imejengwa zaidi na wahutu na watutsi, baina yao (ukiachana Wa Twa ambao ni wachache sana huishi maporini kama wahadzabe) wahutu ni 90% na watutsi ni 10%

Baada ya mapinduzi mpaka sasa ni kama wahutu wametengwa licha ya wao kuwa wengi, Vteo vingi vya Serikalini, Jeshini, Taasisi, n.k. wanajazana watutsi, hata misaada ya kiserikali imelenga zaidi kuwasaidia watutsi.

Kagame wala mtutsi mwengine hawezi kuja kupata madaraka kwa kura kwasababu watutsi wahutu walio 90% wanalalamika kuwekwa pembeni, hata madaraka aliyoyapata Kagame ni kwa kupindua serikali baada ya vita iliyoanza kwa mauaji dhidi ya watututsi pale wahutu walipopata hasira ndege za marais wawili (Rwabda na Burundi) waliokuwa wahutu zilipolipuliwa na waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame.

Wahutu wanatengwa kwa maksudi kabisa licha ya wao kuwa almost 90 %
Sasa inatuhusu nini sisi watanganyika?
 
vitambulisho vinweza visioneshe kabila lakini majina yanatosha kujua, Kwa Rwnda hata urefu wa mtu huchangia kujua kabila lake, Watutsi wengi ni warefu.

Hivi ni vyeo vya juu vya jeshi la Rwanda, majenderali wote ni watutsi

Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi polisi, usalama wa taifa, magereza, jeshi la Rwanda, n.k. ni watutsi
Kwa statistic hizi, naliona tatizo kubwa kuja kutokea mbeleni
 
Back
Top Bottom