Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mfumo Wahutu waliuchoka wakaungana na kuuongoa, hawataki kabisa kuusikiaRwanda irudi kuwa Kingdom kwasababu ilikuwa mfumo huo kwa miaka mingi na hakukua na mauaji ya kimbari lakini Wabeleji ndio waluikuja kuleta fitina na kufunza ubaguzi.
Hawakuuchoka ni Wakoloni wa Kibelgiji ndio walitengeneza majungu Wanyarwanda wote Watutsi kwa Wahutu walikuwa wakimpenda Mwami wao.Huo mfumo Wahutu waliuchoka wakaungana na kuuongoa, hawataki kabisa kuusikia
Kwa kifupi kwa sasa wahutu na watutsi hawaivani, wahutu wanaona live wananyanyaswa na watutsi.Hawakuuchoka ni Wakoloni wa Kibelgiji ndio walitengeneza majungu Wanyarwanda wote Watutsi kwa Wahutu walikuwa wakimpenda Mwami wao.
Wakoloni walijenga Falme zao na kubomoa za Kiafrika ikiwamo kumuua Mangi wa Kibosho na kuchukua Fuvu kwenda kumuonyesha Mfalme Keisar.
Hata huko Ethiopia hakutaweza kutulia mpaka watakapo urejesha Ufalme wa Negus, Negus ndie aliyekuwa akitumika kama kiunganishi cha Makabila ya Wahabeshi.
Wafalme wa Rwanda wametawala kwa miaka na miaka na hakukuwa na Mauaji ya kimbari Rwanda alikuwa akitumika kuunganisha Makabila ya Rwanda.
Matatizo ya Ukabila Rwanda na Ethiopia yataondolewa kwa kurejesha Ufalme.Kwa kifupi kwa sasa wahutu na watutsi hawaivani, wahutu wanaona live wananyanyaswa na watutsi.
maji yakishamwagika hayazoleki.
Kama hakuna Ukabila basi kuna Nepotism unakuta Koo za akina Mwinyi nk.Tanzania, Botswana, Ghana, Zambia, Malawi, n.k. ni nchi chache saana ambazo ukabila haupewi uzito, tunaishi kwa undugu
Sio kweli ..Wahutu kutoka northern Rwanda niwarefu kuzidi hata watutsi..Wahutu kutoka Western part of Rwanda wana pua ndefu na sura nzuri hata zaidi ya watutsi . RDF ilisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja,jeshi la polisi lisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja..vitambulisho vinweza visioneshe kabila lakini majina yanatosha kujua, Kwa Rwnda hata urefu wa mtu huchangia kujua kabila lake, Watutsi wengi ni warefu.
Hivi ni vyeo vya juu vya jeshi la Rwanda, majenderali wote ni watutsi
Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi polisi, usalama wa taifa, magereza, jeshi la Rwanda, n.k. ni watutsi
Hao wahutu most likely ni puppets wa TutsisSio kweli ..Wahutu kutoka northern Rwanda niwarefu kuzidi hata watutsi..Wahutu kutoka Western part of Rwanda wana pua ndefu na sura nzuri hata zaidi ya watutsi . RDF ilisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja,jeshi la polisi lisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja..
Jeshi la magereza mpaka Leo linaongozwa na mhutu..angalia cabinet utakuta Wahutu ndio majority.
Waziri mkuu, mkuu wa senate ni Wahutu..what are you talking about..
Hizo ni facts mengine ni stories unazotoa mitandaoni the same stories kila mwaka.
Hili ni zao la Nyerere, yule mzee alijua kabisa, tukiendekeza ukabila, tumekwisha..Mambo haya ukiyafuatulia utaumia kichwa kwa kweli ,hiyo ndio dunia tuishi ...Kitu nafurahi sana kuishi Tanzania makabila kibao wengi wanaozaliwa mjini hawana time na ukabila washazoea kuishi na kila mtu , fresh tu...
Ukabila ni bomu kubwa sana.
acha chokochoko ww kichaa. ya nchi yako yanakushinda. Rwanda, Kagame kamaliza ukabila, kwa taarifa yako wahutu ni wengi wana vyeo ktk serikal ya PK jinga kweli. na majina mengi yanatumika na tutsi na hutu. unajua kisa cha mpaka kutunguliwa Hyabirimana? Habirimana alianza kuleta ukengeufu hapo.Hao wahutu most likely ni puppets wa Tutsis
usimsikilize huyo fala. mnaandika mambo kwa hearsay.Nilishasemaga hilo, ni suala la muda tu.., hiwezi kubagua kundi kubwa la watu wazi wazi halaafu ukabaki salama..
huna hoja, unachoweza ni kuandika tu matusi ya vijiweniacha chokochoko ww kichaa. ya nchi yako yanakushinda. Rwanda, Kagame kamaliza ukabila, kwa taarifa yako wahutu ni wengi wana vyeo ktk serikal ya PK jinga kweli. na majina mengi yanatumika na tutsi na hutu. unajua kisa cha mpaka kutunguliwa Hyabirimana? Habirimana alianza kuleta ukengeufu hapo.
huwa una mada za kifalafala. mara uwanange waislam mada zako za kichokochoko kama shoga
Utakuwa muhutu tuu ukimbizini, rudi kwenu mkajenge nchi, ile Rwanda ya baba zako wauaji haipo tena, Kagame kaweka mambo sawa na hakuna tena muhutu au mtusi ndani ya Rwanda, pumbaf sanavitambulisho vinweza visioneshe kabila lakini majina yanatosha kujua, Kwa Rwnda hata urefu wa mtu huchangia kujua kabila lake, Watutsi wengi ni warefu.
Hivi ni vyeo vya juu vya jeshi la Rwanda, majenderali wote ni watutsi
Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi polisi, usalama wa taifa, magereza, jeshi la Rwanda, n.k. ni watutsi
tupe mfano nani aliyepata cheo Kwa ukabila lkn hakustahili,tianzie hapo.Ila kuna ukabila wa chini chini bado hasa kwenye nafasi za ajira, kuwekana kikabila.
Nae raisi aliepita kwa mbali alianza hizi itikadi, haikuleta picha nzur
kunaweza kuwa na nafasi 10 za ajira, Shortlisted candidates wenye sifa zote ni 100 lakini 10 ni wa kabila la manager, akichagua hao 10 wote wa kabila lake ni ukabila.tupe mfano nani aliyepata cheo Kwa ukabila lkn hakustahili,tianzie hapo.
Kama hakuna Ukabila basi kuna Nepotism unakuta Koo za akina Mwinyi nk.
Unataka watu wa kazi na hao kumi unaona watafaa unawaacha Kwa sababu ya kabila huo ndio ukabila wenyewe. na ndio maana MAGU alikuwa na serikali Bora kabisa ambayo haijashuhudiwa hapa Kwa muda mrefu.kunaweza kuwa na nafasi 10 za ajira, Shortlisted candidates wenye sifa zote ni 100 lakini 10 ni wa kabila la manager, akichagua hao 10 wote wa kabila lake,je wengine hawana sifa ?
🙄🤔⚔️☠️⏳🕯️Idadi / Population ya Rwanda kuna makundi matatu,
Wahutu 85 %
Watutsi 14 %
Watwa 1%.
Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi kwa kuanza kuwaua watutsi, Waasi wa kitutsi waliingia vItani na hatimae wakashinda.
Baada ya mapinduzi mpaka sasa ni kama wahutu wametengwa licha ya wao kuwa wengi, Vyeo vingi vya Serikalini, Jeshini, Taasisi, n.k. wanajazana watutsi.
View attachment 2962823
View attachment 2962821
View attachment 2962814
View attachment 2962815
View attachment 2962816
View attachment 2962817
View attachment 2962818
View attachment 2962819
View attachment 2962820
View attachment 2962822