Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Umesema Zambia na Malawi,hauzijui vizuri hizo nchiTanzania, Botswana, Ghana, Zambia, Malawi, n.k. ni nchi chache saana ambazo ukabila haupewi uzito, tunaishi kwa undugu
Acha longolongo....siku hazigandi...chukueni ushauri....Una uhakika na unacho kiongea? Una statistics?
Hivi unatofautishaje makabila ya Rwanda.
Unajua jinalsi system ya uongozi wa Rwanda ilivyo.
Mambo ya ukabila yameisha yaliletwa na Baba zenu lakini Kagame ameyamaliza.
Utamtofautishaje mhutu na mtutsi wakati hata kwenye ID hakuna kabila imeandikwa..
Weka majina na hao wahutu warefu kuzidi watusi ndyo nimesikia leo , ila ukweli rwand nafasi zote nyeti ni watutsi wanahodhi mfano jeshini wahutu wasio na vyeo ndyo wanapelekwa drc kusaidia m23 yaani wanaswagwa kufa huku wanaona kua wanakwenda kufaSio kweli ..Wahutu kutoka northern Rwanda niwarefu kuzidi hata watutsi..Wahutu kutoka Western part of Rwanda wana pua ndefu na sura nzuri hata zaidi ya watutsi . RDF ilisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja,jeshi la polisi lisha ongozwa na mhutu zaidi ya mara Moja..
Jeshi la magereza mpaka Leo linaongozwa na mhutu..angalia cabinet utakuta Wahutu ndio majority.
Waziri mkuu, mkuu wa senate ni Wahutu..what are you talking about..
Hizo ni facts mengine ni stories unazotoa mitandaoni the same stories kila mwaka.
Rwanda ukabila umeisha kwenye makaratasi, lkn mioyoni kwa wahutu kuna fukuta.haiwezekani kabira dogo kutawala nyanza zoote za kiuchumi na kiutawala nchi nzima.Una uhakika na unacho kiongea? Una statistics?
Hivi unatofautishaje makabila ya Rwanda.
Unajua jinalsi system ya uongozi wa Rwanda ilivyo.
Mambo ya ukabila yameisha yaliletwa na Baba zenu lakini Kagame ameyamaliza.
Utamtofautishaje mhutu na mtutsi wakati hata kwenye ID hakuna kabila imeandikwa..
Propaganda hizo,hata mimi nili washangaa sana.Nimeshangaa meza ya duara ya dw wanasema mambo safi "UKIBHUKA"
SanaInasikitisha Sana
Sio kweli hata kidogo, hii doc. imetengenezwa ku suit agenda ambayo hata mleta maada anaihamasisha kwenye post zake nyingi. Zaidi ya 65% ya hizi picha wameandika Tutsi but it is not and am very sure of what am saying. Kwa yale majina ya maaskari sifahamu chochote lakini kwa hizi picha zingine naweza kukutajia Hutus ni wengi kushinda Tutsi, na kwa sababu hiyo sioni kama kuna ukweli kwenye majiana ya hawa ma General.Mkuu unataka takwimu za aina gani wakati kakuwekea kabisa na picha. Kama ni kweli sura ya utawala nchini Rwanda ipo hivi kuna shida, tena kubwa!
Mbele kuna giza kubwa!! Na kimya kingi kina mshindo! Kamwe huwezi kutatua tatizo la ukabila kwa kutumia utawala wenye sura ya kikabila namna hii, unajidanganya bure!
The great Genocide-III could be loading.........!
(Genocide-I ilikuwa 1959, Genocide-II ilikuwa 1994)
Sio jambo dogo mtu aweke jambo nyeti la namna hii hadharani bure, kuna kitu nyuma ya pazia!
Mzee punguza hasira jamaa kaongea ukweli. Nikuulize swali mkuu?Una uhakika na unacho kiongea? Una statistics?
Hivi unatofautishaje makabila ya Rwanda.
Unajua jinalsi system ya uongozi wa Rwanda ilivyo.
Mambo ya ukabila yameisha yaliletwa na Baba zenu lakini Kagame ameyamaliza.
Utamtofautishaje mhutu na mtutsi wakati hata kwenye ID hakuna kabila imeandikwa..
Huyo Mwami mwenyewe ni mkimbizi na kaomba sana kurudi kaambiwa usikanyage huku.Rwanda ilikuwa ni Kingdom na ni vizuri nafasi ya Mwami irudishwe halafu iwe ni constutional ambae ndiye awe head of State
Hivyo vyeo na hao watu aliowaweka ni uongo?usimsikilize huyo fala. mnaandika mambo kwa hearsay.
Wakoloni wa Kibeleji ndio wakikuwa nyuma ya Mauaji hayo ili Waafrika tuuane lakini kabla ya ujio wa Mzungu Rwanda kulikuwa hakuna Mauwaji na Wanyarwanda walimpenda Mwami wao.Mkuu umeisoma historia ya Rwanda vizuri, mauaji ya Kimbari ya 1994 ni ya pili, ya kwanza ya lifanyika mwaka 1959 zaidi ya watutsi laki moja waliuawa na wahutu kutokana na mfumo huo wa kibaguzi wa kifalme.
Hizo ni takwimu rasmi!
Tujitahidi kuwa makini na kwenye suala la dini maana na huko pia ni bomu.Mambo haya ukiyafuatulia utaumia kichwa kwa kweli ,hiyo ndio dunia tuishi ...Kitu nafurahi sana kuishi Tanzania makabila kibao wengi wanaozaliwa mjini hawana time na ukabila washazoea kuishi na kila mtu , fresh tu...
Ukabila ni bomu kubwa sana.
Huo ndio ulikua unawakandamiza makabila mengineRwanda irudi kuwa Kingdom kwasababu ilikuwa mfumo huo kwa miaka mingi na hakukua na mauaji ya kimbari lakini Wabeleji ndio waluikuja kuleta fitina na kufunza ubaguzi.
Makabila mengine hayajawahi kusema yanakanfamizwa na Rwanda kulikuwa na Amani sana enzi za Mwami.Huo ndio ulikua unawakandamiza makabila mengine
mkuu nikama unajitekenya unacheka mwenyewe!!Makabila mengine hayajawahi kusema yanakanfamizwa na Rwanda kulikuwa na Amani sana enzi za Mwami.
Hakuna Historia ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Wahutu ni mpaka Mzungu alipotia timu na kuanza siasa zake za kuwachonganisha ili atawale.Hayajawai kusema wapi??
uliyauliza? yakasema hayakandamizwi??
Kulikua na vyombo vya habar kama sasa??
Uhuru tu ndio ulionyesha maumivu ya muda mrefu baada ya kumfukuza huyo mwami akakimbia na wakachagua mhutu mwenzao
unajua watusi waliwezaje kuchukua umwami wakati wao walikua minority??Hakuna Historia ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Wahutu ni mpaka Mzungu alipotia timu na kuanza siasa zake za kuwachonganisha ili atawale.