Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!


Na nimekufahamu mkuu vizuri tu, kinachokusumbua wewe ni ubaguzi na chuki zidi ya waarabu. Sina dawa yakukupa kwa hilo zaidi ya kukuombea maombi Mungu akusaidie mana chuki sikitu kizuri kabisa kwenye moyo wa Mwanaadamu.

Chuki dhidi ya Muarabu / muhindi / au mzungu haziwezi kusaidia kitu. Hawa watu tayari wameendelea kiakili zamani sana tafauti na sisi, na ndio mana wengi wetu tunasumbuliwa na choyo juu yao. Tunawaita wabaguzi wakati sisi wenyewe tunawabagua. Just imagine hizi dini za ulimwengu chimbu lake lingekuaga Afrika ingelikuwaje? Hiyo technology tungekua sisi ndio wenyewe ingelikuaje?
Sisi ni watu wa ovyo sana. Kule Zanzibar Waliuwa waarabu, Wakawanyag'anya mashamba na mali waarabu pamoja na wahindi. Kila kitu wakuchua wao wenye kujiita waafrika. Lakini maka 30 tu mbele bado ukenda Zanzibar tajiri ni muarabu na muhindi. Na sasa hivi nasikia mashamba mingi sana yanamilikiwa na waarabu. Waliwanyang'anya saivi washawauzia tena. Tusubiri tena mbena tutakujasikia waarabu wameteka mashamba kama mnavotukaririsha.

Mkuu waimbaji walishaimba MPEWA HAPOKENYEKI wenzetu vichwa vyao vinafanyakazi sisi tumebakisha wivu.

Bora tuzungumze mengine kesi za waarabu tueke pembeni
 
Mkuu waimbaji walishaimba MPEWA HAPOKENYEKI wenzetu vichwa vyao vinafanyakazi sisi tumebakisha wivu.
Bora tuzungumze mengine kesi za waarabu tueke pembeni
Ni bora kwani umeshindwa niwekea hata Link sana sana huyo Saleh Farsi nimetafuta na kuona ni mwandishi tu km mimi hajagusia hata ujio wa mtu katika kisiwa hicho
ninapinga kuwa Kisiwa cha unguja na Pemba hakikuwa na binadamu hadi alipofika Mshirazi toka Persia
km hakuna Link bora yubakie kwenye Mada ya awali ambapo Karume aliuawana Mahamoud na sio Babu
 
navipata wapi naomba Link hata Zanzibar nitavitafuta mwezi huu
nashukuru kwa kunifahamisha zaidi ni evidence km link
 

Mshirazi hakuwa mtu wa mwanzo kufika zanzibar. Tyari kulikua na Wayemen na bantu wanaishi wakati wao wanafika. ndio mana nilikwambia ukapitia historia ya KIlwa empire.
Washirazi wamefika Afrika Mashariki wakiwakuta Wayemen tayari wameshaweka makaazi yao. Na hao wahaymen wapo kwa zaidi ya miaka mia 5 nyuma. Wakiingiliana pamoja na watu Sudan / Ethopia ambao ndio wanaokadiriwa walikuokua wakiishi kwenye mwambao wa afrika mashariki.
 

Turudi hapo unapopataka. Homoud ndio aliemua Karume lakini alikua yupo kwenye kutekeleza azimio la nani?
Babu alitaka kufanya revolution. Na wote akina Homoud, Shindano, Chwaya, Ahmada, na Ali mahfudh walioshiriki kwenye tukio la mauwaji walikua ni watu wa Babu. nahili ndilo linalothibitisha kama lile halikua tukio lakisasi bali ni revolution plan. Kama kisasi tu humoud angeliweza kumfata Karume hata kwake tu kwa mda wake wakamalizana. Nikweli Karume alimuulia baba yake Homoud ambaye alikua ni shemegi yake. Karume alikua ni mume wa dada yake.
Babu alitengeneza Revolution plan ambayo ilikuja kufail kwa dakika za mwisho kabisa. Plan yao kina Humoud hawakutakiwa kumuuwa Karume pale, Walitakiwa Wamueke chini ya ulinzi na baada ya kumaliza mapinduzi ndio wamuue. Walikuwepo wengi ambao kila mmoja alikwisha kua kwenye nafasi yake pamoja na watu wake wakiwemo kina Ali Sultan ambaye yeye alitakiwa kuuteka Uwanja wa ndege na Qulattein yeye alitakiwa kuteka Radio Pale rahaleo. Ali Mahfudh ndie aliekua resposible wakudeal na Karume. Nahao kina Humoud na Ahmada ndio waliokua vijana wake wakukamilisha shuhuli yake.
Ila baada ya plan kuharibika Babu aliwwarifu watu wake wote kuhusu kusitisha maazimio yao kwa mda ule. Lakini Canal Mahfudh licha kupewa taarifa ndie alietoa go ahead ya kwenda kumalizwa Karume. Na hapa ndipo role ya Mwalimu inapoingia. Hapa ndipo anapohusika kwenye kifo kile. Mahfudh alikua anatumiwa na nyerere na kama wenzake wengi tu wakiwemo kina Salim Ahmed Salim ambao ni watii wa Mwalim walikua ni usalama wa Mwalimu ndani ya Umma Party (Comrades).
Mr X kwenye kesi ya mauaji ya Karume hakuwa mwengine Zaidi ya Mwalimu. Mwalimu alikua anafahamu kila kitu kuhusu program ya babu nayeye akisubiria ili apate kufanya program yake. Babu, Mahfudh, Qulattein wote walihukumiwa vifingo vya maisha. Lakini Nyerere aliwatoa miaka mitano mbele. Na akmtumia Mahfudh msumbiji.
 
Ndugu yangu usilishwe Matango pori, na huwezi nifundisha historia ya mwarabu wa Oman mpaka wanagawana utawala mmoja atawale Oman na mwingine Zanzibar
Wikipedia ndio inakufundisha historia? hivi unajua kama wikipedia inakuwa na wachangiaji tu kiasi hata wewe unaweza ukaandika lako? Halafu unashindwaji kusoma the shortest war in History chanzo chake kilikuwa nini au Wikipedia hukuikuta?

Hebu subiri nikuekee ulichosema mwenyewe hapa;
upo sahihi lakini wenyeji walipotaka kumuondoa muarabu wa Oman wakashindwa, kwa nini walimuita Muingereza akaja kupiga vita ya dk 20 na kumuweka mtu wake toka Oman

Halafu saiv unakuja kusema ivi;


Na Mimi nilisema ivi;



Sasa mbona kama waijua historia unatudanganya kuwa wenyeji walitaka kumuondoa mu oman? wakati ugomvi huu haukuhusisha wenyeji?

Kucopy Wikipedia sio kujua historia.
 
Kwenye matukio huwa kunakuwa na watu wengi. Si lazima kuwataja wote. Nijuavyo mie aliemfata personally Nyerere ni Maalim Seif na ndio maana sikutaja wengine walioko behind the scenes. Mara nyingi kwenye matukio ya siasa kunakuwa na wale watu wa mbele na kuna wengine wapo nyuma wakisukuma wenzao.
 
Mkuu linapozungumzwa suala la Zanzibar na waarabu, anaezungumziwa ni Watawala wa Ki Oman.

Watawala wa kioman waliwakuta wabantu (Ama tuseme wafrika). Lakini ukisoma tena kurudi nyuma, hata hao wabantu ni wakuja!
 
Akili yako wewe ndio haiko sawa na ukitafutacho katika search Injini hukijui
aliyetupeleka wiipedia sio mimi, mm nilikuwana naelezea niyajuayo kutoka na simulizi za wale wabobeaji wa makumbusho pale Zanzibar na kutuia Gazeti la RAI na nikijua kabisa Historia ya STD IV hata na vitabu
Nilikuwa nakusaidia wewe usiyejua Histori ya MuOman ulipobana Post #202
yeye Dos.2020 ndiye aliyetaka twende Wikipedia kuwa hivyo Visiwa havikuwa na Wenyeji (Wabantu) mm ndipo nikamfafanulia hiyo Wikipedia inasema walikuwepo Wabantu kabla ya mwarabu na huyo Mshirazi Ali Ibn al-Hassan Shiraz Ali ibn al-Hassan Shirazi - Wikipedia ilikuwa ukiiclick inakupeleka huko kuwa huyo ndiye Founder wakati ni UONGO
 
Sasa mbona kama waijua historia unatudanganya kuwa wenyeji walitaka kumuondoa mu oman? wakati ugomvi huu haukuhusisha wenyeji?
Kucopy Wikipedia sio kujua historia.
Ndugu yangu Mada tumeimaliza kwani wote hamtuwekei Link km (Ushuhuda) evidence ya hayo msemayo ni kubwabwaja tu mm kwa majibu nimekuwekea kwanini hawa Ndugu waili wa Sultani Said waligombana na Muingereza kumuweka wampendae
kasome Post # 209
hebu pekua mwenyewe na ukirudi uwe na link tuone wewe una kumbukumbu gani sio za kuhadithiwa vijiweni kuwa Kisiwa cha Zanzibar ni cha waarabu wa Oman na Persia
List of Sultans of Zanzibar - Wikipedia
 
Mkuu linapozungumzwa suala la Zanzibar na waarabu, anaezungumziwa ni Watawala wa Ki Oman.

Watawala wa kioman waliwakuta wabantu (Ama tuseme wafrika). Lakini ukisoma tena kurudi nyuma, hata hao wabantu ni wakuja!

Mkuu sio kweli watawala WakiOman hawakuwakuta wabantu kama ndio watawala au ndio wanaoishi pekee. Pitia vizuri historia mkuu. Kaisome KIlwa empire vizuri. Washirazi wametawala miaka mingi sana mkuu. Nawao pia walikwakuta wa Yemen wakitawala.
Historia inapotoshwa na yote ni kwasababu ya kutengenezea mazingira watu fulani waonekanwe ni mashujaa.
 
Mkuu linapozungumzwa suala la Zanzibar na waarabu, anaezungumziwa ni Watawala wa Ki Oman.

Watawala wa kioman waliwakuta wabantu (Ama tuseme wafrika). Lakini ukisoma tena kurudi nyuma, hata hao wabantu ni wakuja!

Mkuu wewe ndio unafahamu hivo lakini wapo wengi fikira zao zinakua huo ujio wa Sayyid Said ndio ujio wa waarabu Zanzibar. Na wanaamini kabla yake hakukua na Muarabu yoyote.
 

Lakini sivo linavochukuliwa na Jamii au maadui wake. Linavopaliliwa utafikiri ilikua ni personal ajenda yake yeye.
 

Pole sana mkuu, kwa kuwategemea wale mbona utaendelea kulishwa matango pori kwa sana tu
Wale wapo pale wameekwa na CCM, na watakachokwambia wao ni kile walichopangiwa na CCM tu.
 

Tunasubiri na zako za kututhibitishia kama Zanzibar ni ya wabantu.
 

Twambie ukweli mkuu tutakuskiliza.

Je unauitambua Usultan wa kilwa?
 
Founder wa Kilwa Empire wakati ameikuta Kilwa ipo? Tuache kuwatukuza hawa watu weupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…