matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,951
Karume aliuwawa na mabaki ya sultani (waZenj wenye asili ya kiarabu) wakilipiza kisasi cha mapinduzi na kujaribu kumpindua...lakini kitu walichokwama ni kwamba jeshi lote la Tanzania lilikuwa chini ya Nyerere,,nadhani mnaelewa nini kingewakuta wangeendeleza chokochoko....pia muelewe awa mabaki ya sultani wamejaribu mara nyingi kumpindua Karume ila hawakufanikiwa...kwa sasa ndio wanaubiri mamlaka kamili ili watekeleze kiapo chao cha kuirudisha Znz chini ya mwarabu.
