Mauaji ya Mzee Karume: Acha sasa tuhoji yasiyohojika!

Karume aliuwawa na mabaki ya sultani (waZenj wenye asili ya kiarabu) wakilipiza kisasi cha mapinduzi na kujaribu kumpindua...lakini kitu walichokwama ni kwamba jeshi lote la Tanzania lilikuwa chini ya Nyerere,,nadhani mnaelewa nini kingewakuta wangeendeleza chokochoko....pia muelewe awa mabaki ya sultani wamejaribu mara nyingi kumpindua Karume ila hawakufanikiwa...kwa sasa ndio wanaubiri mamlaka kamili ili watekeleze kiapo chao cha kuirudisha Znz chini ya mwarabu.
 

Siamin km wafuas wa surtan walimpiga risasi ila ni selikal yetu ndio ilifanya hivyo embu jiulize kifo cha wazir wa mkuu zaman Sokoine je kifo chak kilikuaje? Mm ninavyo isi nackia kua mze Karume alitaka kuvunja muungano ndio wakammaliza. Km ni mabaki ya sultan mbn chuki ziliamia kwa mke wake na watoto wk? Achakudanganya watu.
 
Naona huna hoja maana sasa unaleta viroja. Umetumwa?
Black widow FaizaFoxy
===>Nakusaidia mama mjane usije ukafikiria yale machungu ya viboko then ukaja uajilipua hapa JF,utaharibu Server za watu bure,maaana hamuaniki hata chembe wewe.
 
Last edited by a moderator:
Achana na mimi, jibu maswali yangu kama una majibu, kama huna majibu nisome tu usepe, uwawache wenye uwezo wa kujenga hoja wanijibu.

nawe acha ukilaza usiokuwa na msingi. wewe umeambiwa 2+2=4 lakini hutaki kuelewa untaka, unataka jibu gani zaidi ya hilo? basi tunga jibu unalojua na ukae kimya uache kuropoka! umepewa material usome halafu husomi unataka uwekewe kwenye youtube usikilize? acha uvivu wa wa kusoma na kufikiri.
 

ulimi una tabia ya kuponza kichwa wewe keybody itaponza kichwa.............
 
ulimi una tabia ya kuponza kichwa wewe keybody itaponza kichwa.............

Acha uoga! Tabia ya kuficha ukweli ndio unaigharimu hii nchi,sababu madudu mengi yanafichwa. Hili lipo wazi sana,hata kama si Yericko basi litakuja semwa na vizazi vijavyo.
 
Kwa wenye akili wamefahamu ila kwa walokuwa akili zao ni nzito kupambanua itakuwa bado hawajafahamu wanataka ufafanuzi zaidi ya hapo ili wafahamu zaidi.
 

Wewe itakuwa umekunywa gongo mchana jua kali bila kula na una hasira za Chalinze.
 

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh
Ritz njoo huku, naona kama mtu kaiba password ya Yericko Nyerere.
 
Maajabu ya JF:




 

Asante,tungependa wachangiaji waje na hoja ya kweli au inayokaribia,na sio chuki binafsi dhidi ya mtu,au muundo.Kwa wale wasio jua hapa ni pa kujikifunza!Endeleeni kutuelewesha.......
 

C.R.A.P from coffee joints.
Kuna ugumu gani kwa Rais wakati huo kumfukuza waziri mkuu, eti mpaka afanye mauaji!?!?
Mzee karume aliuwawa na wazanzibar ambao hawakupendezwa na mambo ya mapinduzi.
Na sokoine alikufa kwa ajali. Na kama ajali ilkuwa na mkono wa mtu/watu, basi mtu/ hao sio Nyerere.
 
Jamani yasemwe mengi lakini ya ukweli na kufikrika. Acheni hadithi za uongo.:flypig:
 
Hivi Ben Disraeli alikuja waziri mkuu wa Uingereza 1967 kweli?
 
Sio kweli kua Mzee karume indie alomfata nyerere waungane azimio lote la mkataba Wa muungano yeye nyerere indie aloandaa na akamtuma kambona kuja Zen kwa Mzee karume kufikisha wazo la muungano huo mengi tumeyasikia yakiasemwa Luna ghila na hadaa katika makubaliano hayo sasa wakati umefika wakujua ukweli huo nikutolewa mkataba sahihi Wa muunguno kinacho ogopwa nini tutajua km ni karume au nyerere alomfata mwenzake sahihi zao zitasema

Wanojua zaid nadhani watatuelimisha
 
Jaman nyerere aliwaua kina habiryimana? Tusilete habari msizo na uhakika nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…