Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
unatisha sasa wewe mm nin wasiwasi u Mtwana au Kijakazi wa waarabu maana unachobishia hakina uhalisia wowote au Lugha ya kiingereza inakupiga chenga?Wabobeaji wapi? wale waliosema kuwa House of Wonder nguzo zake zimetengezwa kwa mafuvu ya muafrika? 😀 😀 Abaa kwenye historia ya zanzibar umefeli....
Post # 209 nimeeleza kisa cha Barghash kutaka kuchukua madaraka baada ya kumuua mwenzake na akamficha kisiwa cha mashariki na kinaonekana ukiwa pale Unguja na Mwingereza akakataa.
In August 1896, Britain and Zanzibar fought a 38-minute war, the shortest in recorded history, after Khalid bin Barghashhad taken power after Hamid bin Thuwaini's death. The British had wanted Hamoud bin Mohammed to become Sultan, believing that he would be much easier to work with. The British gave Khalid an hour to vacate the Sultan's palace in Stone Town. Khalid failed to do so,
sasa km husomi na unakuja kubishana nilishasema hii Mada achana nayo Lugha huijui, sasa soma kisa kizima hapa chini

Hamad bin Thuwaini of Zanzibar.
Sayyid Hamad bin Thuwaini Al-Busaid, GCSI, (1857 – August 25, 1896) (Arabic: حمد بن ثويني البوسعيد) was the fifth Sultan of Zanzibar. He ruled Zanzibar from March 5, 1893 to August 25, 1896.[1]
He was married to a cousin, Sayyida Turkia bint Turki al-Said, daughter of Turki bin Said, Sultan of Muscat and Oman. Hamad died suddenly at 11.40am on 25 August 1896 and was almost certainly poisoned by his cousin Sayyid Khalid bin Barghash who proclaimed himself the new sultan and held the position for three days before being replaced by the British government after the 40-minute-long Anglo-Zanzibar War.[2]
Khalid Bin Barghash alimuwekea sumu nduguye Thuwaini na akachukua Madaraka ambayo mwingereza hakukubali akampiga mizinga na kumuweka Hamoud Bin Mohamed waliyemtoa Oman
sasa huelewi nini tena nahutaki kufuatilia?
weka link sio unakuja kichakichwa kujibu