Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Maana ya Gaid sijui ila neno Gaidi nenda ukasome kamusi ya kiswahili utaelewa.Nini maana ya Gaid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya Gaid sijui ila neno Gaidi nenda ukasome kamusi ya kiswahili utaelewa.Nini maana ya Gaid?
Unawezaje kuandika maneno usiyojua maana yake, au unanena kwa lugha? Ok sio kosa lakoMaana ya Gaid sijui ila neno Gaidi nenda ukasome kamusi ya kiswahili utaelewa.
Kwanza wewe angalia weakness yako kabla hujaona ya mwingine hiyo spelling yako Gaid ipo sahihi ?Unawezaje kuandika maneno usiyojua maana yake, au unanena kwa lugha? Ok sio kosa lako
Haitasaidia. Hata atoke marineMkuu Paskali! Kwa kweli nami nimesikitishwa sana na hii kadhia. Wakati umefika sasa wa Ngosha MAGU kuteua IGP kutoka jeshini, kabisaa!
Kwahiyo hao majambazi ni waislamu/magaidi?. Ndugu umekosea Hili tukio usilifunganishe na dini yoyote.Nionavyo mimi ni makundi ya maharifu yanakusanya silaha.
Halfu kitu kingine kule yanakotokea haya ni kule kule kwenye pwani isiyokuwa na ulinzii. Ulinzi uimarishwe katika njia chocho za bahari.
Ninaomba JWTZ wafanye operation maalumu katika misitu iliyokatika maeneo hayo. Kunaweza kuwa na kambi maalumu ya uahrifu.
Tatu viongozi wa dini ya kiisilam, wale wanaowaza mema, wakae na wajadili namna ya kukomesha mitazazmo mibovu ya baadhi ya watu walio nao juu ya maisha. Bila shaka wanafahamu haya ni kwa nini yanatokea kwa kuwa eneo yanakotokea haya ni kule kwenye wingi wa wafuasi wao ambao wameshindwa maisha. Wanatakiwa wawape elimu sahihi namna wataboresha maisha yao badala ya kutafuta njia za kiharamia au kutaka kuharibu nchi ili wakose wote. Hii ni roho ya shetani yule mwenye wivu.
Nne jeshi la polisi lirudi katika misingi ya kutenda haki. Waacha uharamia wa kudhulumu na kuonea raia. Polisi waache unyanganyi wa mali na haki za raia ili jamii iwaone kuwa ni sehemu yake na iwape ushirikiano. Polisi wamejitenga na wananchi ki malengo na ndiyo sababu wananchi wako kimya hata wanapoona mipango miovu inatokea. Ninasema hivi kwa sababu, bila shaka hata katika tukio hili kulikuwa na watu karibu. Hao jambazi hakutoka hewani na hakuyeyeyuka baada ya ushetani wake. Watu walimwona akiingia na alikoelelkea wanajua. Jeshi la polisi linahitaji kuhamasisha umoja kati yake na raia ili raia walisaidie kuzuia matukio ya kishetani kama haya.
Tano serikali iache kuwatumia polisi vibaya. Inawajengea chuki dhidi ya wananchi. Wanachi wanaoan polisi ni watesi wao na si wasaidizi n ahivyo kujitenga nao mbali. Viongozi wa ccm na serikali wawekeane mikakati ya kudhibiti matumizi ya jeshi la polisi yasiyo halali. Yanalidhalilisha jeshi letu na kuliweka katika wakati mgumu sana wa kutengwa na umma.
Serikali itambue kwamba hii ni karne nyingine. Budget za serikali ziangalie suala la technolojia ya ulinzi na usalama ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu. Ikiwa tetemeko lilitokea Bukoba na hapakuwa na hata kipimo cha kutambua kabla hatua stahiki zikachukuliwa, na bado serikali ikasema haikuleta tetemeko, niina mashaka na uwepo wa technolojia ya ulizini wa mipaka yetu hasa katika bahari na sehemu zisizokaliwa na watu. Kuliko kutumia nguvu kubwa kudhibiti wapinzani, ninaomba serikali iwekeze kweney technolojia surveillance ndani na nje ya mipaka yetu. Polisi wanaoonyesha uharamia kama kunyang'anya mali za mahabusu kwa nguvu, kutetea uharlfu ndani ya jeshi, kuonea na kusingizia raia, wanatakiwa kuondolewa kwenye kikosi hivi kwa sababu hawa ini hatari kwa jeshi lenyewe. Wanaweza kuuza taarifa hata mipango ya dani ya jeshi kwa maslahi ya 1000,000. Ondoeni maharamia kati ya polisi, sukeni jeshi letu upya, kisha liwezeshwe kwa technolojia inayoona na kutoa taarifa ya matukio hasa katika maeneo yenye wasialam wengi kama huko pwani na mkuranga.
Watanzania ninaomba sana tuendelee kuishauri serikali japo inakataa kushauriwa. Hii la kukataa ushauri wa wanaoongozwa tulichukue kama tatizo linalohitaji tiba kama maradhi lakini hatwezi kujenga taifa pasipo kushauriana na kusikilizana. Ccm ninyi ndio wenye viburi, ninaomba muwe wa kwanza kujirekebisha. Tambueni bila taifa lenye amani ccm haipo.
Viongozi acheni kujenga matabaka miongoni mwa wananchi. Acheni kuwadharau watanzania na kuwabagua, huku mkifanya kebehi za wazi kwa viburi. Migawanyikio mnayoijenga ndiyo inayoondoka mishkikamano na mioyo ya uzalendo . Bila kuwa na umoja na uzalendo, hakuna suluhu rahisi ya matatkzo yanayoinuka.
NINAOMBA NISIITWE MCHOCHEZI MAANA SERIKALI INADHANI IKIWAUNGA WATU VINYWA NDIYO INASHINDA, KUMBE INAJENGA ROHO MBAYA ZA KIKATILI NA MTAWANYIKO UANOANZA KULIGHARIMU TAIFA KWA KASI HII YA AJBU.
Kuna uzi uliletwa wiki chache baada ya mauwaji ya mwenyekiti huko kibiti. Wengine walichangia kuwa serikali ilivunja msikiti wa magaidi kwahiyo ndio hao wanaolipa kisasi.Ni msiba pole wafiwa.
Adhabu ya papo kwa papo itazidisha mauaji...Principle ya tit for tat au jino kwa jino Haifai kwa sababu hio ni jungle law
Hili sio mara ya kwanza wala ya pili. Ni matudio na tunakumbuka ya Sitaki Shari ilipo vamiwa.
Sina uhakika na mafunzo ya polisi wetu kwa sasa jee ni ya kukabiliana na wapinzani tu ? Jee wanafundishwa sayansi ya investigation ya kisasa?
Mara nyingi yanapo tokea matokeo kama haya polisi wetu huta target wavaa kanzu...kuvamia misikiti na kukamata wenye ndevu....na tangu wafanye hivi hawajawahi kuthibitisha kesi hizi..
Hata hili utaona watu wanasema ugaidi..na ukisha sema ugaidi basi ujue kuna wenye ndevu na kanzu watavo teswa na kukamatwa hovyo.
Na haya hayakuwepo miaka ya nyuma hasa polisi wetu walipokuwa wakifunzwa na walimu na nchi rafiki.
Nadhani mentality ya polisi wetu imebadilishwa na mafunzo wanayo yapata kutoka kwa US ambao mara nyingi kwa sasa ndio role model wetu.
Kwao US uhalifu wa kama hivi ukitokea kwao basi mshukiwa wa mwanzo ni waislam ....sasa hivi fikra zao ndo wanapandikizwa askari wetu.
Mimi nadhani bado hayujapata chanzo cha jinai hizi...
Na hii ndio kazi moja wapo ya vijana wa Intelligence TISS wafanye uchunguzi wa kisayansi kutaguta chanzo , nani anahusika na kwa malengo gani. Huku ndio kunawahusu TISS na sio kawa Roma mkatoliki.
Kusema tu ni magaidi na kuanza kuvamia misikiti na masheikh haku ondoi tatizo kwa sababu tuna end up kukamata wrong person kwa sababu tu ya hisia za mafunzo walopata.
Pia tujiulize why polisi tu ? Sio magereza wala jeshi wala mgambo wala raia wa kawaida?
Jee polisi wao kwa wao hakuna chuki baina yao ?
Ndio maana nikasema Tiss iingie kufanya uchunguzi wa kina na kuukabidhi serikalini.....ili tukomeshe jinai hii kujirudia.
DahhhhhhhhKisifanyike chochote juzi kuna Wabunge wameomba hilo swala lijadiliwe bungeni kuna wanawake jenista mhagama na mwenzie bila hata aibu wanasema ni uchochezi!
Yakasikika makofi ya Wabunge wa ccm waaaa...waaaa....waaaa....
Acha tuendelee hivi hivi
Ni majambazi, neno gaidi tafsiri yake nini?Hao ni magaidi. Tofautisheni Kati ya magaidi na majambazi. Duniani hakuna jambazi wanaopanga ambush kwa police. Kwanza ni marafiki wa siri na wanaishi kwa kutegemeana. Ukiona jambazi anauawa ni kwamba ameenda kupiga kazi bila kutoa taarifa, au amepiga kazi na hajatoa mgao. Wale ni magaidi, na ni walewale ambao wenzao waliovamia kituo cha polisi ukonga. Wanaanza kujireorganize
Ni kafara za Bashite ili kuwasahaulisha watanzania juu ya vyeti vyake, mjiandae sana kwani Bashite anajiandaa kutoa kafara nyingi sana mkiwemo nyie rafiki zake mojawapo atamtoa kafara Wewe au Le mutuz au wengineo lazima awatoe kafara kwani waganga wake Bashite wamesema hakuna namna ingine ya kumuokoa Daud Bashite na majanga zaidi ya kuwatoa kafara.Wanabodi,
Taifa bado liko kwenye shock ya nini haswa kilichotokea kwa askari wetu?.
Mauaji haya ya Polisi Wetu ni Ujambazi tuu, ni Ugaidi au Retaliation?. Wakati vyombo vya uchunguzi vikiendelea na kazi yake, Sisi Watanzania kama taifa lazima tujiulize, Nini Kifanyike Kukomesha Hali Hii?,
Kwanza nikiri nimesikitishwa na vifo hivi vya vijana wetu askari polisi kushambuliwa na kuuwawa na majambazi wenye silaha.
Swali ni jee huu ni ujambazi tuu wa kawaida, uvamizi kwa lengo la kuiba silaha, ni ugaidi, ambush au nini haswa?.
Hili kuwaweka polisi wetu kwenye risk na kuwa an easy target, kwa majambazi wanaotumia silaha, niliwahi kulizungumza hapa kwa kirefu Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Kwa tukio kama la jana,jee mnadhani huu sasa ni wakati muafaka wa kuzibadili sheria zetu za jeshi la polisi ili kuwalinda polisi wetu wawe licenced to kill officially na serikali itangaze rasmi kuwa ujambazi wa kutumia silaha adhabu yake ni kifo cha papo kwa papo, no prosecution no kesi, bali ni hukumu ya kifo there and then ili kuwaogofya kabisa majambazi wote wanaotumia silaha wasithubutu?!.
Kama ni ugaidi au retaliation, tufanye nini?.
Natoa pole kwa rais wetu wa JMT, waziri wa Mambo ya Ndani, IGP na familia za askari hao!
RIP Askari Wetu.
Nini Kifanyike? .
Ijumaa Kuu Chungu!.
Paskali
Update 1.
Thanks very objective.
Paskali
Update 2 ya michango very objective
Thanks kwa mchango huu, very objective
Paskali
Update 3.
Huu ni mchango very objective
Thanks for this.
Paskali
Lessons to be learnt, kwa muda mrefu utulivu wa watanzania umechukuliwa for granted.Wanabodi,
Taifa bado liko kwenye shock ya nini haswa kilichotokea kwa askari wetu?.
Mauaji haya ya Polisi Wetu ni Ujambazi tuu, ni Ugaidi au Retaliation?. Wakati vyombo vya uchunguzi vikiendelea na kazi yake, Sisi Watanzania kama taifa lazima tujiulize, Nini Kifanyike Kukomesha Hali Hii?,
Kwanza nikiri nimesikitishwa na vifo hivi vya vijana wetu askari polisi kushambuliwa na kuuwawa na majambazi wenye silaha.
Swali ni jee huu ni ujambazi tuu wa kawaida, uvamizi kwa lengo la kuiba silaha, ni ugaidi, ambush au nini haswa?.
Hili kuwaweka polisi wetu kwenye risk na kuwa an easy target, kwa majambazi wanaotumia silaha, niliwahi kulizungumza hapa kwa kirefu Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
Kwa tukio kama la jana,jee mnadhani huu sasa ni wakati muafaka wa kuzibadili sheria zetu za jeshi la polisi ili kuwalinda polisi wetu wawe licenced to kill officially na serikali itangaze rasmi kuwa ujambazi wa kutumia silaha adhabu yake ni kifo cha papo kwa papo, no prosecution no kesi, bali ni hukumu ya kifo there and then ili kuwaogofya kabisa majambazi wote wanaotumia silaha wasithubutu?!.
Kama ni ugaidi au retaliation, tufanye nini?.
Natoa pole kwa rais wetu wa JMT, waziri wa Mambo ya Ndani, IGP na familia za askari hao!
RIP Askari Wetu.
Nini Kifanyike? .
Ijumaa Kuu Chungu!.
Paskali
Update 1.
Thanks very objective.
Paskali
Update 2 ya michango very objective
Thanks kwa mchango huu, very objective
Paskali
Update 3.
Huu ni mchango very objective
Thanks for this.
Paskali