Mauaji ya Polisi wetu ni Ujambazi, Ugaidi au Retaliation? Nini kifanyike kukomesha hali hii?

ukiwa maeneo ya jaribu ,kibiti,ikwiriri wao wanadai hawa jamaa wanadai kuna wenzao wamekatwa na wanateseka gerezani,ifike wakati serikali ikae nao mezani .Mbona mkuu aliyepita alimshauri Kagame akae na wale wa rwanda ,ni wakati muafaka wa kumshauri Dereva wa roli akaei pembeni na kuwasikiliza abiria kwani wanataka kuchimba dawa.
 
The killing of policemen is unacceptable...a sin and crime. It is high time now to conduct clean up operations
 
We paskali , unawatuhumu kuwa viongozi wa kiislamu waumini wao wame shindig maisha, kibiti, kimanzichana, mkuranga, unawajua?
Nani kukuambia wameshindwa maisha,?
Walikuwa msaada?
Acha dharau broo
 
TANZANIA KWANZA NA NDG: CORNEL A. KASONDE
..
.
KWANZA KABISA NAPENDA KUTOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA RAFIKI WALIOPATWA NA MSIBA HUU MKUBWA WA VIJANA WETU WA JESHI LA POLICE .
PIA POLE ZANGU ZA DHATI KUTOKA MOYONI ZILIFIKIE JESHI LA POLICE NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA MAANA MSIBA HUU WA WALINZI WETU WA AMANI NI WETU SOTE.
...Back to the point.....
Naamini kabisa hili sio tukio la kwanza kutokea hapa nchini kwetu la watu walio na roho mbaya naza kikatili kutekeleza mauaji ya Askari Police wetu ambao ndio walinzi wa amani bila sababu za msingi na zisizoeleweka. Ila naomba na nnaamini vitengo vya usalama katika nchi yetu vipo makini sana na nnaamini vitashughulika na tukio hili na hatimaye kubaini ni akina nani wanaotekeleza vitendo hivi viovu na visivyo vumilika.
Mbali na hayo yote naiomba serikali sasa ione umuhimu wa kufuatilia kwa makini sana juu ya utekaji na mauaji ya RAIA hapa nchini na kuubaini mtandao huo unaopelelea kupoteza amani ndani ya mioyo ya Watz wengi ambao hatujui hatma ya haya yote na ninaamini kwakufanya hivyo matukio mengi sana kama haya yatakoma na nchi itarudi katika hali ya utulivu.
Mytake:
IFIKE MAHALI SASA TUACHE KUHUSISHA KILA KITU NA MAMBO YA SIASA NA TUANGALIE MUSTAKABALI WA NCHI YETU KWA PAMOJA NAKUWEKA TOFAUTI ZA KIITIKADI NA DINI PEMBENI ILI TUWEZE KUFANIKISHA KUPINGA NAKUPAMBANA NA VITENDO HIVI VIOVU KWA NGUVU MOJA.
...
..
...
CORNEL A. KHASONDE
Cornelkhasonde2063@gmail.com
 
ni vema vyombo vya ulinzi vifuatile kadhia hiyo! kwa kuwa sisi si watu wa ulinzi tusiwapanikishe na wafanye kazi yao,ila kama kuna clue nzuri waifuatilie
 
Kwahiyo hao majambazi ni waislamu/magaidi?. Ndugu umekosea Hili tukio usilifunganishe na dini yoyote.
 
Kuna uzi uliletwa wiki chache baada ya mauwaji ya mwenyekiti huko kibiti. Wengine walichangia kuwa serikali ilivunja msikiti wa magaidi kwahiyo ndio hao wanaolipa kisasi.

Chaajabu sasa kwanini ule msikiti usingeachwa kwa aliji ya ichunguzi wa kina ili kufahamu network yao na kuifuatilia kwa undani na kujua hasa chanzo chao, je wana watu foreigners wanawatrain, au kuna wageni wanakuja kuwatembelea?, kufuatilia huko kunakoitwa makambini kwao,

Wangepata ile chain yoooote na kudondosha mmoja baada ya mwingine bila taharuki wala mikwaruzano. Ila wakishaambiwa ni wavaa kanzu fupi na ndevu baasi wanakaa baeabarani kuwasubiri. Matokeo yake ndo hayo sasa
 
Kisifanyike chochote juzi kuna Wabunge wameomba hilo swala lijadiliwe bungeni kuna wanawake jenista mhagama na mwenzie bila hata aibu wanasema ni uchochezi!
Yakasikika makofi ya Wabunge wa ccm waaaa...waaaa....waaaa....
Acha tuendelee hivi hivi
Dahhhhhhhh
 
Ni majambazi, neno gaidi tafsiri yake nini?
 
Reactions: cza
Ni kafara za Bashite ili kuwasahaulisha watanzania juu ya vyeti vyake, mjiandae sana kwani Bashite anajiandaa kutoa kafara nyingi sana mkiwemo nyie rafiki zake mojawapo atamtoa kafara Wewe au Le mutuz au wengineo lazima awatoe kafara kwani waganga wake Bashite wamesema hakuna namna ingine ya kumuokoa Daud Bashite na majanga zaidi ya kuwatoa kafara.
 
Kwangu ni sawa tu unapokuwa polisi na hufuati sheria unastahili kufa tu
 
Lessons to be learnt, kwa muda mrefu utulivu wa watanzania umechukuliwa for granted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…