Maulid Kitenge adai kwamba watu wanaopinga kubinafsishwa kwa Bandari hawajawahi hata kufika Bandarini

Maulid Kitenge adai kwamba watu wanaopinga kubinafsishwa kwa Bandari hawajawahi hata kufika Bandarini

The grass always seems greener on the other side of the fence. Many politicians promise green, green grass by blending niceties with delusion and by using alluring confidence tricks. They voice attractive tales and tell things, people like to hear. But the post-factual grassland often appears to be parched and barren.
 
Ole wao wanaotunga sheria zisizo za haki, watu wanaopitisha sheria za kukandamiza. Huwanyima maskini haki zao, na kuwaibia maskini wa watu wangu maslahi yao. Wajane wamekuwa nyara kwao; yatima wamekuwa mawindo yao. Je, mtafanya nini siku ya adhabu, siku dhoruba itakapowajieni kutoka mbali? Mtamkimbilia nani kuomba msaada? Mtakwenda wapi kuweka mali yenu? Litakalowabakia ni kujikunyata kati ya wafungwa na kuangamia pamoja na wanaouawa vitani. Hata hivyo, hasira ya Mwenyezi-Mungu haijatulia, bado ameunyosha mkono wake
Tayari MUNGU alishawalipia wajane waliouliwa waume zao
 
Bado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .

Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?

Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Anaogopa atadaiwa hongo ya dola 50,000 aliyopewa na waarabu kama mkataba wa kishenzi utagomewa, wakati yeye na makuwadi wenzake waliwaaminisha waarabu kuwa wana uwezo wa kuhakikisha ule mkataba wa kisgenzi unakubalika.
 
Back
Top Bottom