Maulid Kitenge adai kwamba watu wanaopinga kubinafsishwa kwa Bandari hawajawahi hata kufika Bandarini

Maulid Kitenge adai kwamba watu wanaopinga kubinafsishwa kwa Bandari hawajawahi hata kufika Bandarini

Hakuna mtu mwenye akili timamu Anaweza kukubali kujifunga na vifungu hivi viwili...๐Ÿ‘‡ Unless otherwise umepewa pesa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡....
Siioni Kazi ya mwanasheria mkuu wa serikali!๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡...inauma saana
 

Attachments

  • Screenshot_20230621-201509.png
    Screenshot_20230621-201509.png
    39.5 KB · Views: 9
  • Screenshot_20230621-201611.png
    Screenshot_20230621-201611.png
    37.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20230621-201742.png
    Screenshot_20230621-201742.png
    37.1 KB · Views: 10
Hakuna mtu mwenye akili timamu Anaweza kukubali kujifunga na vifungu hivi viwili...๐Ÿ‘‡ Unless otherwise umepewa pesa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡....
Siioni Kazi ya mwanasheria mkuu wa serikali!๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡...inauma saana
Halafu makahaba wanabana pua kutetea huu ujinga
 
Rafiki zake na Maulid Kitenge wanadai jamaa anajisikia vibaya kubagazwa eti ni msaliti na anatumiwa na baadhi ya wezi wa RASILIMALI zetu kama dalali.

Nieleweke, kwa matendo yake yaliyo bayana kwangu mimi Maulid Kitenge ni zaidi ya YUDA aliyemsaliti Yesu!

Nyendo za huyo ndugu kwa siku za hivi karibuni zimekuwa zikitia mashaka! Rejea safari zake za Loliondo na Ngorongoro ambazo kwazo ni kama zilikuwa zikiwapanga watu wajiandae kwa jambo fulani na matokeo yake hakika sote twayatambua.

Kama haitoshi, Yuda huyo kabla ya sakata hilo la BANDARI alisafiri hadi Nchi fulani ya Asia na isivyotarajiwa na kwenda kuandaa vipindi vihusuvyo bandari na kabla hata ya wiki mbili sakata letu lihusulo bandari likapelekwa Bungeni.

Kwayo, YUDA Maulid ni mtetezi tena hutumia nguvu zote! Na kwa kuzingatia hayo hivi tokea juzi YUDA na wasaidizi wake wote wapo Dubai kwa mwaliko wa DPW unaotia mashaka!

YUDA Maulid, HUELEWEKI.
 
Mtikila alisema watu wa nje wanaamini kuiteka hii nchi haihitaji mtutu wa bunduki, bahasha tuโ€ฆ
 
look up the definition of a "useful idiot". waTZ tunatembea na "bei" zetu kichwani, tutafanya chochote as long as mtu kafika bei. For bags of cash, some would sell their own mothers.
 
Siyo lazima tuwe werevu wote hata wajinga mna nafasi yenu hivyo hautushtuwi sisi ni vitendo tu maneno endeleeni kuongea.
 
Wadau nawasabahi. Kwa nia nzuri naomba kuuliza

Huyu Maulidi Kitenge ni Msemaji wa Suala mzima la Uwekezaji wa Bandari yetu kwa DP WORLD?

Nimekuwa nakutana na Maelezo yake mengi ktk Mitandao ya Jamii juu ya Suala mzima la BANDARI lakini ambacho hajakielezea ni MKATABA MZIMA wa BANDARI na DP WORLD. Suala la faida za Uwekezaji huo amezizungumzia jambo ambalo niliamini WAZIRI mwenye Dhamani au MSEMAJI wa Serikali angezizungumzia.
20230703_223726.jpg
JamiiForums-1523132767.jpg

20230629_104922.jpg
 
Tasnia ya habari Tanzania ina watu wa ajabu sana ndio maana kupata waandishi aina ya Stan Katabalamo na Pasco Mayalla (enzi za kitimoto) imekuwa ngumu sana.
 
Maulid Kitenge ni Balozi wa Heshima wa Bandari.

Ni brand ambassador wa TPA.
 
Ni mnufaika wa pesa za kidalali walizolipwa wajinga na mambumbumbu kwa gharama kubwa ya kuuza hatima ya nchi kwa vizazi vingi vijavyo.
 
Bado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika, sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai, kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu.

Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa, na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi?

Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda taratibu na huo Uchawa wake, huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu.

====

View attachment 2664200

Mtangazaji Maulid Kitenge amesema, kitendo cha watu mbalimbali kupotosha kuhusu ukweli mkataba wa uendeshaji na uendelezaji wa bandari za Tanzania, wamemua kufunga safari hadi Dubai Falme za Kiarabu yalipo makao makuu ya kampuni ya DP WORLD inayotegemea kupewa dhamana ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari za Tanzania ili kupata ukweli wa jambo hilo ili kuwaelimisha wananchi ukweli kuhusu mkataba huo.

Kitenge amewatupia lawama baadhi ya Watanzania wanaopotosha ukweli kuhusu mkataba wa ukodishwaji wa bandari za Tanzania huku akisema wengi wao hawaifahamu bandari na hawajawahi hata kutumia huduma za Bandari.

"Kuna watu wako Maneromango huko unakuta wanapotosha kwamba bandari yetu imeuzwa wakati hawajawahi kufika hata bandarini, jamani bandari haiuzwi, inafanyiwa tu uwekezaji"

Chanzo: Jambo TV

Tunarudia watu hawapongi ubinafishaji bali vifungu vichache vya MOU! Tuache kupotosha
 
Back
Top Bottom