Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Swali zuru sana.Wanaopinga ushoga waliwahi kuwa mashoga ?
Wanataka watu wote wafike bandarini wakafanye nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuru sana.Wanaopinga ushoga waliwahi kuwa mashoga ?
Habari mpya:Bado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Bora kukosa pesa lakini uwe na ubingwa. Kitenge ubingwa hana, kombe lilishachukuliwa na timu pinzaniIla ana pesa kumzidi baba yako
Nje ya madaHabari mpya:
Tena ajabu sana, chadema wamemtumia kijana anaejulika kwa ushoga anaitwa Soka, ndiyo eti aanzishe maandamano ya kupinga bandari isiendeshwe na Waislam. Cheza na intelijensia ya Tanzania,
mwenyewe hakuwepo akabambwa huko huko laikojificha. akasema yeye ameambiwa akianzisha maandamano atafantuwa pango apelekwe Denmarkau Canada akapate ukimbizi. Akawataja na wengine wote aliowarubuni.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Duu walimwengu hatari sanaHuyu apuuzwe tuView attachment 2663428
Na wasioutaka washajulikana, leo wamebambwa wakitaka kufanya maandamano. Ni mashoga.Anayatetea huu mkataba ukichunguza sana utakuta kafeli fom foo.
Mshaanza kuita watanganyika mashoga sio??Na wasioutaka washajulikana, leo wamebambwa wakitaka kufanya maandamano. Ni mashoga.
Huyu mwandishi siku hizi amekuwa dalali wa biashara za uporaji ardhi na maliasia zetu kwa waarabu. Hawa ndiyo wapiga nzumari kuhalisha uporaji unaoendelea kwa kulipwa vijisenti huku taifa likiangamia.Bado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Wengine wameenda mbali sana kwamba kama ni lazima ufike sehemu unayoipinga kuuzwa , na wale wanaopinga Ushoga waliwahi kufika wapi ?
Nadhani Maulid Kitenge anapaswa kwenda Taratibu na huo Uchawa wake , huko tuendako itakuja kusababisha Sintofahamu
Hatuja sahau clip zake dhidi ya wamasai!!!waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .
Yupo kwenye payroll za waarabu
Hatuja sahau clip zake dhidi ya wamasai!!!
ni kweli kabisa kasemaBado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini , kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika , sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai , kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua sintofahamu .