Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka


 
 
 
 
Inasikitisha sana, waMasai nao ni watu. Hivi leo mtu aje hapa Dar es salaam asema watu wote tuhame tuhamie Dodoma, hapana tuna haribu mazingira.., mtajisikiaje?
kuna umuhimu mkubwa sana kuwasapoti wamasai, nahisi kuna maumivu makali sana wanayapitia. ajabu yake, bado wanapigia kura ccm pamoja na machungu yote haya.
 
 
Wewe ukiwa miongoni mwa walimwengu(kutoka afrika) unaweza faidika na rasilimali zilizoko arabuni hata kama unaitwa Abdulratif?
 
Pumbavu kabisa kwa hiyo wanaona raha wanyama wetu wakitoroshwa na kuwa caged huko dubai na ulaya?Haya majitu yanatia hasira sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…