Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

“..Loliondo division of Ngorongoro district....” , kipi huelewi? Au unadhani hiyo Loliondo ipo wapi, Tandale? Yaani serikali ipeleke watu ambako tayari ina mpango wa kuwaondoa hivi karibuni? Does it make sense?
 
Uharibifu wa wamasai umeanza mwezi huu? Nini kimetokea ghafla mwezi huu?! Wamasai na hao watakaokuja kujenga vibanda na kuketa magari na bunduki kuua wanyama ni akina nani waharibifu, ni kwanini wasitumie tour companies zetu wakafanya utalii wa kutazama tu kama watalii wengine? Ni kwanini tunahalalisha ujangiki wa waarabu?
 
Na wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?

Acha mambo ya kijinga ,wamasai lazima waondoke Ili kulinda hifadhi.
 
Mtu akikaa sehemu nzuri ( vijimafanikio ) anaona wenzake wasio na kitu kabsa kama mbuzi yaani.. yaani wanafata ile misemo ya ... ili mmoja apate ni lazima mwingine apoteze.. uzembe tu
 
Vyote.Kwa hiyo tuache waharibu hifadhi kwa sababu tuu wakihama kuna mwindaji atapewa kitalu?

Mwindaji anaharibu hifadhi?
Mwindaji anaekuja kujenga vibanda, kuleta magari na bunduki kuua wanyama kwa ajili ya kuburudisha anafanya uharibifu mkubwa zaidi, kwahiyo kama lengo ni uhifadhi basi huo ni utaahira kama utaahira mwingine. Ila kama lengo ni kutumikia matumbo baada ya kupewa mlungula na waarabu ili kuwaondosha wamasai kwenye ardhi yao ya kimila inabidi mkemewe kwa nguvu zote.
 
Huyo ndio mwindaji wa kwanza hapa Tzn?
 
kuna siku magu alisema kuna kipande cha nchi kimeuzwa nikawa najiuliza ni wapi kumbe loliondo imeuzwa uuuuwiii jamaa wameichukua milele nasikia mswahili hutakiwi kuonekana huko waarabu wameweka hadi uwanja wao binafsi wa ndege
 
umewai kufika ngorongoro
 
Na wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?

Acha mambo ya kijinga ,wamasai lazima waondoke Ili kulinda hifadhi.
inaonekana mkuu ushapewa kibahasha na waarabu kusaliti nchi yako hivi babu nyerere angekua na tamaa hivi saizi nchi ingekua kwenye hali gani
 
Ili kulinda hifadhi au ili kuwapa watu wakaue wanayama kujiburudisha?
Nilishapinga hili sababu toka awali niliona tu kinachotafutwa kuwafukuza wamasai ni kuweka watu wengine kama wamiliki wa hilo eneo! Sasa wamasai ambao walikuwa wanafuga na hao warabu ambao watakuja kuwaua wanyama kwa starehe zao nani muharibifu!

Nilipinga sana wamasai kuondoshwa hapo na naomba wagome watu wachapwe mikuki ili akili ziwakae sawa.
 
inaonekana mkuu ushapewa kibahasha na waarabu kusaliti nchi yako hivi babu nyerere angekua na tamaa hivi saizi nchi ingekua kwenye hali gani
Kwani hilo swala linahitaji kupewa bahasha? Wewe kwako ule uharibifu unaona ni sawa?

Kwa hiyo na wewe unaewatetea waharibifu umepewa bahasha za ole sendeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…