Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
NA wale wanyama wa Ikulu Dar nani aliwapiga bei?Mwinyi huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA wale wanyama wa Ikulu Dar nani aliwapiga bei?Mwinyi huyo.
Wakati ule yalipotezwa magazeti na mtu (watu).. Tuone hili la kwa wamasai nini au nani atapotezwaKulikuwa na Gazeti lingine lililoitwa "Mfanyakazi" lililokuwa likitoka Kila J'mosi. Liliripoti Sana habari za Loliondo. Nalo lilipotezwa.
“..Loliondo division of Ngorongoro district....” , kipi huelewi? Au unadhani hiyo Loliondo ipo wapi, Tandale? Yaani serikali ipeleke watu ambako tayari ina mpango wa kuwaondoa hivi karibuni? Does it make sense?Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga? Naona umewakamata wajinga wenzako..
Kwa kukusaidia wewe na mazwazwa wenzako, hiyo habari haihusiani na alichoongea Kitenge(i.e Ngorongoro), bali inaongelea kuwaondoa wamasai kutoka Loliondo.
..
.
Uharibifu wa wamasai umeanza mwezi huu? Nini kimetokea ghafla mwezi huu?! Wamasai na hao watakaokuja kujenga vibanda na kuketa magari na bunduki kuua wanyama ni akina nani waharibifu, ni kwanini wasitumie tour companies zetu wakafanya utalii wa kutazama tu kama watalii wengine? Ni kwanini tunahalalisha ujangiki wa waarabu?Kwani ukodishwaji wa vitalu umeanza na Samia? Umekuwepo na itaendelea kuwepo so long as utalii upo.
Pili propaganda kama hizi sio Kinga ya wamasai kuhalalisha uharibifu wa hifadhi,ushahidi Uko wazi na umewekwa.
Mwisho Hilo eneo wakipisha likawekwa chino ya wawindaji litarudi kwenye uhalisia wake wa uhifadhi na sio kama lilivyoharibiwa kwa sasa.
Kwa hiyo hakuna excuses wala propaganda za kuhalalisha uharibifu.
Mambo ya Kijinga kama haya ndio yalipelekea Nchi ikajaa machinga kila mahali.Serikali acheni majadiliano ya Kijinga na Masai.
Mama yenu huyo katekwa na waarabu hata kuvaa kwake tu huko hukoNani anataka kuuza? Huyo ndiye msaliti mkubwa
Na wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?Uharibifu wa wamasai umeanza mwezi huu? Nini kimetokea ghafla mwezi huu?! Wamasai na hao watakaokuja kujenga vibanda na kuketa magari na bunduki kuua wanyama ni akina nani waharibifu, ni kwanini wasitumie tour companies zetu wakafanya utalii wa kutazama tu kama watalii wengine? Ni kwanini tunahalalisha ujangiki wa waarabu?
Ili kulinda hifadhi au ili kuwapa watu wakaue wanayama kujiburudisha?Na wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?
Acha mambo ya kijinga ,wamasai lazima waondoke Ili kulinda hifadhi.
Vyote.Kwa hiyo tuache waharibu hifadhi kwa sababu tuu wakihama kuna mwindaji atapewa kitalu?Ili kulinda hifadhi au ili kuwapa watu wakaue wanayama kujiburudisha?
Mwindaji anaekuja kujenga vibanda, kuleta magari na bunduki kuua wanyama kwa ajili ya kuburudisha anafanya uharibifu mkubwa zaidi, kwahiyo kama lengo ni uhifadhi basi huo ni utaahira kama utaahira mwingine. Ila kama lengo ni kutumikia matumbo baada ya kupewa mlungula na waarabu ili kuwaondosha wamasai kwenye ardhi yao ya kimila inabidi mkemewe kwa nguvu zote.Vyote.Kwa hiyo tuache waharibu hifadhi kwa sababu tuu wakihama kuna mwindaji atapewa kitalu?
Mwindaji anaharibu hifadhi?
Huyo ndio mwindaji wa kwanza hapa Tzn?Mwindaji anaekuja kujenga vibanda, kuleta magari na bunduki kuua wanyama kwa ajili ya kuburudisha anafanya uharibifu mkubwa zaidi, kwahiyo kama lengo ni uhifadhi basi huo ni utaahira kama utaahira mwingine. Ila kama lengo ni kutumikia matumbo baada ya kupewa mlungula na waarabu ili kuwaondosha wamasai kwenye ardhi yao ya kimila inabidi mkemewe kwa nguvu zote.
Kwahiyo kisa umeshawahi kulawitiwa tukuache tu uendelee na huo mchezo kisa sio mara yako ya kwanza, what nonsense is this?! Pia uwindaji at what cost?! Displacing thousands of Tanzanians?!Huyo ndio mwindaji wa kwanza hapa Tzn?
kuna siku magu alisema kuna kipande cha nchi kimeuzwa nikawa najiuliza ni wapi kumbe loliondo imeuzwa uuuuwiii jamaa wameichukua milele nasikia mswahili hutakiwi kuonekana huko waarabu wameweka hadi uwanja wao binafsi wa ndegeWalipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.
LEO WAMERUDI TENA
umewai kufika ngorongoroDoesn't the end Justify the Means
Hata kama kitenge ni Msaliti Je kinachosemwa hakina ukweli ?
Mimi kama Mtanzania na Mwanamazingira nasema wamasai wasibaki huko na hao wanaotaka kujifurahisha wasipewe eneo, eneo libaki kwa manufaa ya Watanzania wote na walimwengu wote sio individuals (be it Wamasai au so called Royal Family)
watu wa system inabidi wa create magufuli mwingine aje aokoe taifaAfrika Afrika Afrika Afrika Afrika bara langu 😭😭
inaonekana mkuu ushapewa kibahasha na waarabu kusaliti nchi yako hivi babu nyerere angekua na tamaa hivi saizi nchi ingekua kwenye hali ganiNa wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?
Acha mambo ya kijinga ,wamasai lazima waondoke Ili kulinda hifadhi.
Nilishapinga hili sababu toka awali niliona tu kinachotafutwa kuwafukuza wamasai ni kuweka watu wengine kama wamiliki wa hilo eneo! Sasa wamasai ambao walikuwa wanafuga na hao warabu ambao watakuja kuwaua wanyama kwa starehe zao nani muharibifu!Ili kulinda hifadhi au ili kuwapa watu wakaue wanayama kujiburudisha?
Kwani hilo swala linahitaji kupewa bahasha? Wewe kwako ule uharibifu unaona ni sawa?inaonekana mkuu ushapewa kibahasha na waarabu kusaliti nchi yako hivi babu nyerere angekua na tamaa hivi saizi nchi ingekua kwenye hali gani