Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Maulid Kitenge, huoni aibu kuwasaliti Watanzania wenzako? Hatimaye ukweli umefichuka

Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga? Naona umewakamata wajinga wenzako..
Kwa kukusaidia wewe na mazwazwa wenzako, hiyo habari haihusiani na alichoongea Kitenge(i.e Ngorongoro), bali inaongelea kuwaondoa wamasai kutoka Loliondo.
..
.
“..Loliondo division of Ngorongoro district....” , kipi huelewi? Au unadhani hiyo Loliondo ipo wapi, Tandale? Yaani serikali ipeleke watu ambako tayari ina mpango wa kuwaondoa hivi karibuni? Does it make sense?
 
Kwani ukodishwaji wa vitalu umeanza na Samia? Umekuwepo na itaendelea kuwepo so long as utalii upo.

Pili propaganda kama hizi sio Kinga ya wamasai kuhalalisha uharibifu wa hifadhi,ushahidi Uko wazi na umewekwa.

Mwisho Hilo eneo wakipisha likawekwa chino ya wawindaji litarudi kwenye uhalisia wake wa uhifadhi na sio kama lilivyoharibiwa kwa sasa.

Kwa hiyo hakuna excuses wala propaganda za kuhalalisha uharibifu.

Mambo ya Kijinga kama haya ndio yalipelekea Nchi ikajaa machinga kila mahali.Serikali acheni majadiliano ya Kijinga na Masai.
Uharibifu wa wamasai umeanza mwezi huu? Nini kimetokea ghafla mwezi huu?! Wamasai na hao watakaokuja kujenga vibanda na kuketa magari na bunduki kuua wanyama ni akina nani waharibifu, ni kwanini wasitumie tour companies zetu wakafanya utalii wa kutazama tu kama watalii wengine? Ni kwanini tunahalalisha ujangiki wa waarabu?
 
Na wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?

Acha mambo ya kijinga ,wamasai lazima waondoke Ili kulinda hifadhi.
 
Mtu akikaa sehemu nzuri ( vijimafanikio ) anaona wenzake wasio na kitu kabsa kama mbuzi yaani.. yaani wanafata ile misemo ya ... ili mmoja apate ni lazima mwingine apoteze.. uzembe tu
 
Vyote.Kwa hiyo tuache waharibu hifadhi kwa sababu tuu wakihama kuna mwindaji atapewa kitalu?

Mwindaji anaharibu hifadhi?
Mwindaji anaekuja kujenga vibanda, kuleta magari na bunduki kuua wanyama kwa ajili ya kuburudisha anafanya uharibifu mkubwa zaidi, kwahiyo kama lengo ni uhifadhi basi huo ni utaahira kama utaahira mwingine. Ila kama lengo ni kutumikia matumbo baada ya kupewa mlungula na waarabu ili kuwaondosha wamasai kwenye ardhi yao ya kimila inabidi mkemewe kwa nguvu zote.
 
Huyo ndio mwindaji wa kwanza hapa Tzn?
 
Walipouza Loliondo gazeti la kwanza kuripoti taarifa ile (Motomoto) lilifunguwa mazima hadi leo.. Na hilo hilo lilifungiwa pia kwa kusema Zanzibar ilipojiunga na OIC. Kama kawa, ilipingwa kwanza na Serikali na watu kadhaa kuliwa vichwa.. LAKINI HADI LEO LOLIONDO SIYO YETU TENA.. Hao hao akina so called royal family walifanya yao.

LEO WAMERUDI TENA
kuna siku magu alisema kuna kipande cha nchi kimeuzwa nikawa najiuliza ni wapi kumbe loliondo imeuzwa uuuuwiii jamaa wameichukua milele nasikia mswahili hutakiwi kuonekana huko waarabu wameweka hadi uwanja wao binafsi wa ndege
 
Doesn't the end Justify the Means

Hata kama kitenge ni Msaliti Je kinachosemwa hakina ukweli ?

Mimi kama Mtanzania na Mwanamazingira nasema wamasai wasibaki huko na hao wanaotaka kujifurahisha wasipewe eneo, eneo libaki kwa manufaa ya Watanzania wote na walimwengu wote sio individuals (be it Wamasai au so called Royal Family)
umewai kufika ngorongoro
 
Na wewe una matatizo ya akili? Kwa hiyo ukiamua ku execute jambo mwezi fulani ndio inakuwa shida ya mwezi huo?

Acha mambo ya kijinga ,wamasai lazima waondoke Ili kulinda hifadhi.
inaonekana mkuu ushapewa kibahasha na waarabu kusaliti nchi yako hivi babu nyerere angekua na tamaa hivi saizi nchi ingekua kwenye hali gani
 
Ili kulinda hifadhi au ili kuwapa watu wakaue wanayama kujiburudisha?
Nilishapinga hili sababu toka awali niliona tu kinachotafutwa kuwafukuza wamasai ni kuweka watu wengine kama wamiliki wa hilo eneo! Sasa wamasai ambao walikuwa wanafuga na hao warabu ambao watakuja kuwaua wanyama kwa starehe zao nani muharibifu!

Nilipinga sana wamasai kuondoshwa hapo na naomba wagome watu wachapwe mikuki ili akili ziwakae sawa.
 
inaonekana mkuu ushapewa kibahasha na waarabu kusaliti nchi yako hivi babu nyerere angekua na tamaa hivi saizi nchi ingekua kwenye hali gani
Kwani hilo swala linahitaji kupewa bahasha? Wewe kwako ule uharibifu unaona ni sawa?

Kwa hiyo na wewe unaewatetea waharibifu umepewa bahasha za ole sendeka?
 
Back
Top Bottom